Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Meanwhile,Mafuta iendelee kutembea[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kina mawasapere na mwaswast .hebu tupeni nini kimejiri hapo nairobi maana mijengo ya AVIC Hq imepigwa stop na wachina wapo ndani kwa rushwa (nchi ya kitu kidogo) hebu leteni jamvini hiyo habari
 
Unaona sasa vile watanzania huamini each & every fake news, so you want to tell me Presidential escort ya kenya iko na Nissan v8

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini wewe ni mjinga kiasi hiki?, wewe umesikia kwamba polisi wa Kenya ndio waliowapa taarifa kwamba gari lao limeibiwa ndio polisi ya TZ ikaanza huo msako, kama huamini kwanini usiulize polisi ya Kenya?. Mbona mwaka jana gari lingine la ikulu lilikamatwa Uganda?, Kenya is a failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma lebo babaa


Rangi nyeusi kama ibilisi
 
kina mawasapere na mwaswast .hebu tupeni nini kimejiri hapo nairobi maana mijengo ya AVIC Hq imepigwa stop na wachina wapo ndani kwa rushwa (nchi ya kitu kidogo) hebu leteni jamvini hiyo habari
watajifanya hawakuonaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
The Daresalaamians are using Kibera as a death sentence to Kenya Nairobians and especially Kibera dwellers,this is ok

View attachment 844827Big cities dwellers are taking over cycling over driving..Kisumu is not exception.
kisumu taxi ni baiskeli lakini wazungu hawafanyi baiskeli kua taxi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
tofautisha sentesi hzo
 
Unaona sasa vile watanzania huamini each & every fake news, so you want to tell me Presidential escort ya kenya iko na Nissan v8

Sent using Jamii Forums mobile app
hilo swali waulize walinzi wa ikuluπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ikiwa gari za ikulu zinaibiwa tena zinavuka mpaka wenu alaf nyie ndio muje muwape uhuru somaliaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…