Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimeeenjoy hiyo fight......pwahahahahaaaaa
umekosa slum πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚naona unatafuta slum kwa torch, hilo neno slum ni geni na hutawah kuliakia mpaka yesu anashuka

kama unataka kusuza roho yako nimekuruhusu okota picha za nigeria au congo useme dar kidogo ujiskie raha😝😝😝
 



Danganya bongolala wenzako
 
hapa kwa battle tumewaruhusu walete hadi nchi ya zanzibar ndio angalau wakaribie nairobi.....πŸ˜€πŸ˜€
mumesahau kua mombasa ni nchi leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mod.....nauliza swali rahisi tu(kupost slum za Dar kuna makosa)sababu Jana nilipost picha ya kijitonyama mkanizuia nisipost chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
zitafute kwa torch πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukikosa nimekuruhusu mm uokote picha za nigeria na congo useme dar sawa😝😝😝
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
the largest and modern city in east and central africaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
This is too much now, how is it possible wakati Magufuli hajawahi kwenda China ukilinganisha na jirani(Vasco Daggama wa East Africa), kila siku safari haziishi lakini hakaribishwi katika mikutano ya maana kama hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
kwan umesahau kua hio nchi ni failed stateπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
who killed mumias sugar wanauliza swali na jibu wanalo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ simple ans is jubilee tano tena

 
sijui watu wakibera wako kwenye hali ganiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ bila kusahau turakana na pokot

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…