Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii forum iliundwa kwa ajili ya wabongo tu,na ndo maana lugha inayotumika ni kiswahili kwa asilimia 90,hao waganda,baadhi yenu wakenya,wanyarwanda,wanigeria hawawezi kukaa humu,hata nyie wakenya hatuwahitaji unaweza kusepa tu!!
 
Akili za bongolala tuu. Ila huyu kakiri he was wrong [emoji23][emoji1490]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…