Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

likijana lijobless la kikenya....upo 20 something na mpaka leo huna ajira ya maana. smh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hakuna ubishi hapo lijizee la 60s nairobi kwisha...ila nakusihi utumie pension yako vyema uache kubishana na vijana mitandaoni...si unajua umebakisha miaka chache sana kabla uanze kuvalishwa napi??
 
hakuna ubishi hapo lijizee la 60s

ni kweli mimi ni lijizee na wala si uongo.

hii ni profile yangu ya kule kwenye forum. yenyu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

hata hivyo nashukuru kwa kukiri kwako kuwa until today on your late 20s,you have no proper job. hivyo vyeti vyako si bora uvichome moto tu au utumie kufutia kinyesi kama toilet paper cos havijaweza kukusaidia. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
karibu forum...kule huwa tunasema bora uhai...nina miaka mengi ya kujiinua...wewe jizee kuukuu unayeanza kumea cabbage kwenye makwapa upo mitandaoni unabishana na watoto zinaitwa goals au lanes my friend...we are on different lanes kumbuka miaka kumi tu uanze kuvalisha napi use this senior age well comrade
 
haki hii emotion sio ya kawaida. we si bure lazima utakuwa na kisirani cha mimba changa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
How do you insult the father of a nation..if i posted nyereres photo and tagged some ill minded tag on him..youd chill ryt...soma polepole..najua kizungu ngumu kwako
 
African Precious
Huyu ndiye baba wa Africa kafanya makubwa kwa africa wakati wengine walikuwa bado wanakumbatia wazungu
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji106]
 
African Precious
Huyu ndiye baba wa Africa kafanya makubwa kwa africa wakati wengine walikuwa bado wanakumbatia wazungu
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji106] View attachment 837196
et baba wa wapi? nina uhakika majority ya watu hata hawamjui huyo n nani wala hawajawahi kumsikia...zungumzia Mandela hapo kitaeleweka bro
 
et baba wa wapi? nina uhakika majority ya watu hata hawamjui huyo n nani wala hawajawahi kumsikia...zungumzia Mandela hapo kitaeleweka bro
Kwa msomi yeyote yule aliyekwiva na aliyesmart ndiye atakayeelewa huyo ni nani ila kwa chokoraa wakikenya atajifanya haelewi ilimradi ajifurahishe.........Hamna historical ya ukombozi wa africa nyie mlikuwa bado watumwa enzi hizo[emoji3] [emoji3]
 
huyo hamna chochote ndugu huyo watchman tu tunatambua Mandela, Kwame Nkrumah na kadhalika...huyo pengine umweke kwenye listi ya machokoraa wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…