Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ujuaji...ukiwa na tsh 20000 unaitumia wiki nzima uku wala sio siku tano,unga kilo tsh 900 mchele kilo 1300 nyama 1/4kg 1500 sasa ww aliekwambia pesa haina thaman ni nani..hata maharage 1/4kg ni tsh 500 tu
When I say siku tano namaanisha Chakula+ transport ya kila siku jijini. kama uko kijijini hio ni pesa ya 10 days.
 
Ndoto za kenya kuwa tajiri namba moja duniani...

Kuna mkenya aliota ndoto za abunuasi kuwa taifa la kenya limefanya mapinduzi ya kiuchumi kidunia nakuwa taifa namba moja duniani[emoji134] [emoji134] [emoji86] [emoji86] [emoji3] [emoji3] [emoji3]


:MTAPATA TABU SANA
 
na kweli munaruka,ila maisha munayaacha chini[emoji38][emoji38]
Sisi ni Middle class already buda kumaanisha 0ver 50% of kenyans live above poverty line! Nyinyi ni LDC! Meaning......vise- versa[emoji23] [emoji23] [emoji23] so mafuta ni added advantage kwetu or you can say an icing on the cake!
 
When I say siku tano namaanisha Chakula+ transport ya kila siku jijini. kama uko kijijini hio ni pesa ya 10 days.
nauli Dar Ni tsh 400 vocha 500 kwa siku anapata mb500 dk zakutosha hadi juice anakunywa akitaka ,punguzeni zero kwenye pesa yenu ili noti kubwa kabisa iwe ksh 100 kama ndio itaongeza thaman
 
Unajitahidi kua na malengo makubwa sana kuliko hali halisi,yani tangu mmepata uhuru 50yrs back ndio mmefikia $80bln alafu wasema itajidouble kirahisi rahisi tu ifike 160. ..
yani ni sawa na mm ambae napata small salary ya $500 per month niseme baada ya miaka mitatu ntakua na $1500 kitu ambacho hakipo
 
Kwa hii dunia dreamers are the ones who make it in life, The last time a kenyan tried to dream we produce the 1st black American president na siku za Campaign 2007 watanzania na South Africans made jokes of him being Kenyan but mwishoe mlisoma number[emoji23] [emoji23] [emoji23] another time high school students in kenya had a dream and three years later M pesa was born! Msicheze na ndoto za mkenya! Kumbuka juzi Uhuru akiota SGR mkatucheka na miaka mitano badaye Mnafuata hio trend. Leo tunaota Pinnacle mnacheka mkisahau ni juzi tu mlicheka ndoto la Britam na Avic kesho sijui mtasemaje?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hehehe malengo makubwa uhalisia mdogo😂😂😂😂😂 tena wasifkiri speed waliokua nayo nyuma ndio watakwebda nayo hio hio
miaka mitatu ya nyuma walikua na economy growth of 7% + leo hii wanagrow na 4.4%😝😝😝
 
yani hio SGR bora unyamaze wakenya walichokitarajia wamekuja kuoneshwa kitu hawakutegemea kabisa

pinnacle na montave hzo kwa lugha nyingine hua tunaita mimba changa😂😂😂😂
 
Shida moja ambalo linawasumbua watanzania nikudhani Kenya ni Tanzania, 50 years tume manage kufikisha 80billion which infact ni kidogo sana in reference to the great financial & political instability problems+ terrorism, Droughts & corruption of which sahii tunafaa kuwa kitu 130bln GDP but due to the above tuko 80bln what of Tanzania????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Watu wenye amani, Zero Corruption, Magu Chuma!, Utalii wa kimataifa, Minerals za dhamana kubwa kama diamond, a longer sea coast full of natural habours, a far much bigger nation, no drought, Ujamaa, "Zero slums" etc...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] GDP=50bln[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] *Mlikosea wapi? ni uzembe?, Albino? Ujinga? ama nini jameni!
 
Nchi inachukuliwa wasomi hawakuepo Yaani watu wameanza kusoma vizur miaka ya 1970 apo so bila elimu unategemea tungechomokaje...at least sahv kinaeleweka mikataba inapitiwa upya nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…