Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • images-73.jpeg
    26.4 KB · Views: 40
  • obG4tdFr1OStg23gOahE9knSbrZQfQqMUvaxZmK8n9pedHCcPz92zGrCJQoNQmImgDeD7LOLRaIvFV5L5dVT6DzICvYjN...jpeg
    21.7 KB · Views: 33
Na hapa ingekuwa Dangagiza huyo kibarangoto wenu angesema ijengwe Chato International Airport
Mwenzako anakuonyesha public area wewe unaonyesha private premises, who knows hizo investments hapo ni zanani?
 
Tulidanganywa kua mombasa ni kali sana miaka ya nyuma lakini ni maajabu hadi Leo hakuna nyumba mpya ni majengo ya zaman tu...mnajenga zaidi Nbo mombasa mmeitelekeza maybe ingekua mbali zaidi
 
Tulidanganywa kua mombasa ni kali sana miaka ya nyuma lakini ni maajabu hadi Leo hakuna nyumba mpya ni majengo ya zaman tu...mnajenga zaidi Nbo mombasa mmeitelekeza maybe ingekua mbali zaidi
Wewe si unajua biggest Port in this part of Afrika iko hapa Mombasa.
 
I thought this thread was about nairobi vs dar es salaam..what happened??? ...you want to say we have exhausted everything..kweli jf inaelekewa kwa dump
kwan we unafkiri hapa ni wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
umeanza kuchanganyikiwa😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…