Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gosh.... hi si poa. Acha hizi.
sasa hizo si ndio mambo za Nairobi buda....au unataka nifanyeje.?...nipindishe ukweli?.

nairobi ni jiji zuri sawa,ila lina mapungufu yake mengi.moja ya hayo mapungufu ni vitendo vya kihalifu ambayo hutokea kila siku na kila saa.
 
yaani kuondoka kidogo napata msee amechanganyikiwa baada ya kula makombora mazito hadi anaona 12 ikiwa 21.
lololololol

@Jicho0boy : Jamaa nishikeni, nishikeni. huyu mtu namuua leo.

@Kudorora : bro, mrushie we pia. usikubali kushindwa.

@Jicho0boy : haya ngoja basi, oona Kambalanick anarusha makombora mazito. mwambie atulie kwanza niende chooni. naskia kunya.

kikikikiiiiii.
wacha kuruka ruka @Jicho0boy. kazi yako kurukaruka na kuzunguka. ukikuja njoo na mapya.
 
Dar is slum vs Nairobi

1. 100.0 X. 10.20 2. 1.02

Bet Responsibly!
 
hahaaaa....this killed it man.i think its now very clear who is the big boss in this region.nataka wakuje wafungue ya msa vs mwanza..uko ndio utacheka mbaya cz hakuna building ya 20 floor ata moja.walikua wanasema 2020 hatutawasongelea.sasa izi zote zenye zinajengwa nai saa ii zitaishia apo 2020.watahama humu watuachie hii jf
 
Ya 20 ama ata 15
 

looool
ndio zake uyo @Jicho0boy. yani yuko kwa ring anaambiwa watu "nishikeni, nishikeni" na uku anaumia. wanajiabisha big time. heri hii battle ingekuwa Dar vs Mombasa. pia wangechemsha minus pta na pspf. Mombasa is East and Central Africa's best city.
 
nikuekee zenye nimeeka uhesabu vipi....here we go

parliament tower-1
hazina-1
p-1
pallazo-1
one african-1
upperhill chambers-1
fcb mihrab-1
kings distinction-1
those are 18 buildings above 20..confirm alafu urudi tena..zote nimeeka apa

Fixed. Talk about the Present. Montave Hass, you need at least 3 years before they are up with the cranes. At least Avic. So talk about what you have now.
 
Fixed. Talk about the Present. Montave Hass, you need at least 3 years before they are up with the cranes. At least Avic. So talk about what you have now.
are you serious,ati 3 years...hehee.naona mnatafuta pakutokea.
 
Fixed. Talk about the Present. Montave Hass, you need at least 3 years before they are up with the cranes. At least Avic. So talk about what you have now.
nipee jengo lolote ndani ya bongolala above 160m. Kenya tuko nazo mbili. Britam @200m na Uap @163m.
nipe ata kama ni on-going ama proposed.
 
Eldi kuna 26,18
Kisumu pia kuna 18
Mombasa iko na mob
Meru pia kuna 14
Kericho 13
Kisii 13
Etc wao ni dar is slum 2
We chalii Ni pimbi tu...nakuangalia unavyobonga mashudu yako...hua unakama mentor disoder ww,perception disoder some kind of schizophrenia
 
Hiyo Konza haijaishaga tu? miaka mingi kweli mnapigia mayowe
The project will take 20yrs to be complete. It is part of the Kenya Vision 2030 and is being built in phases and started in 2013. Do your math
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…