Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ahaaa Nimesahau Basi ngoja niweke na haya













 
Tunapiga na kuumiza kabisa wasirudie tena hiyo topic ya buses










 
Issue ya Mabasi tunaimaliza leo leo tuendelee na mengine











 
hawaamini kabisa,inashangaza hata kusema kenya wametuzidi uchumu,yaani ukiulizwa kivipi huwezi elezea.
huwez na yote hii kwasababu washazoea kudanganya wakidhani wamepatia kumbe wanajikomoa ona hii pokot😂😂👇👇
dunia ya leo kweli utamdanganya nani👇
 
mbona wasee wa dar hawanaga swag hata kidogo,,,,,watu wamechakaa na kudhoofika sana.ama ni mawazo ya kuingia uswazini kwa the iron corugated shacks resembling houses,,,,lol....
Mimi pia hujiuliza ivo...wasee kwa brt na streets wanakaa kuchakaa sana
 
Tunaumiza kabisa katika jambo hili


















 
Tunamaliza kabisa jambo hili msije mkarudia tena kuhusu mabasi





















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…