Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo sonko ni mshamba anatuchekesha tu[emoji3] [emoji134] [emoji3]

Mapete vidole vyote kweli wakenya ni washamba....
 
Amison yoote wengine Wametoka Nigeria,Uganda,Ethiopia,USA,Britain,Kenya,Congo na Somalia wenyewe woote wako huko who are you!? Yani you claim to be part of East Africa na hata kuisaidia jirani wenzenu Somalia hamuwezi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni nini mtasaidia East Africa nyinyi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani kwa....
1. Sports-0
2. Army-0
3. Economy-0
4. Education-0
5. Inovation-0

*Ni nini mtasaidia East Africa?? Uzembe?? Udaku?? ama ujinga![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
*Tanzania is a disgrace to the East African Community![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mshamba ni magu alituaibisha waafrika na hii ushamba ya Tanzania!![emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Kanali Kashmir, Mahfoudh walivyosaidia msumbiji kupata uhuru -2
 
Huna jambo unajifurahisha ....hivi kwa akili yako ndogo unadhani majeshi huwa yanajiendea tu kwenye mapambano yakusaidia taifa flani ....?..
 
Ukinywa pombe za ganda la ndizi huwa unajitekenya sana ili ujifurahishe[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Miraa kitega uchumi huku bana. Inatafunwa kutafunwa, na kuuzwa kuuzwa (hadi ulaya BTW) [emoji23]

Mkiwa na backward thinking hivi, mtaendeleaje?
kulima chakula hamuwezi lakini miraa munaweza 😂😂😂 kweli njaa haitawaacha salama
 
kulima chakula hamuwezi lakini miraa munaweza [emoji23][emoji23][emoji23] kweli njaa haitawaacha salama
waKenya watu wa kutafuta pesa. Iwe Miraa, coffee ama chai.. Tutakuza tuuze alafu twende tukule KFC, Pizza Inn, Pizza Hut ama Fogo Gaucho


Kulima tumewaachia waTZ
 
waKenya watu wa kutafuta pesa. Iwe Miraa, coffee ama chai.. Tutakuza tuuze alafu twende tukule KFC, Pizza Inn, Pizza Hut ama Fogo Gaucho


Kulima tumewaachia waTZ
so kulima sio kutafuta pesa 😂😂😂😂
 
so kulima sio kutafuta pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyinyi 60% of your population ni kulima ili mjilishe. Yaani SUBSISTENCE farming.

Kenya system ni CASH CROP farming. Tujilishe na pia tupate pesa. LANES
 
Miraa kitega uchumi huku bana. Inatafunwa kutafunwa, na kuuzwa kuuzwa (hadi ulaya BTW) [emoji23]

Mkiwa na backward thinking hivi, mtaendeleaje?
HII Miraa ndio imefanya tu mgolombi twa vijana wa kikenya kua tepetepe kama matambala ya kupigia deki, matokeo yake mabinti wa kikenya wanawapenda machalii wa bongo [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…