Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jamaa kaja kumaliza habari ya SGR[emoji23][emoji23]
Uhuru anakwenda US, JPM anamaliza game ya SGR akiwa Palace huku akiwatonesha na the longest pipeline in the world from Hoima to Tanga.

Magu kiboko yao babekiiiiiii.

VIVA JPM
VIVA TANZANIA.
 
Uhuru anakwenda US, JPM anamaliza game ya SGR akiwa Palace huku akiwatonesha na the longest pipeline in the world from Hoima to Tanga.

Magu kiboko yao babekiiiiiii.

VIVA JPM
VIVA TANZANIA.
magu kiboko ya wakenya yani hawana raha jamaa kawabana kila kona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
I wonder mutatoa fedha ya kuijenga wapi...ama ni loan mutapewa kisha mutudanganye ati pesa cash...your punching above your weight as an ldc country..watch this space
Povu ruksaaaaaa [emoji16] [emoji16] [emoji16] alafu jamaa wanasema Kuna viproject vya umeme btn TZ & Ug afu ianze mara moja dadeq mtatuelewa tu mbona.
 
I wonder mutatoa fedha ya kuijenga wapi...ama ni loan mutapewa kisha mutudanganye ati pesa cash...your punching above your weight as an ldc country..watch this space
kwani fedha ya kujenga modern electric bullet train in africa tumetoa wapi???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
pesa ya kununua 7 new brand aircrafts cash deal tumetoa wapi???
pesa ya kujenga biggest dam in east africa 2b usd tumetoa wapi????
 
kwani fedha ya kujenga modern electric bullet train in africa tumetoa wapi???[emoji23][emoji23][emoji23]
pesa ya kununua 7 new brand aircrafts cash deal tumetoa wapi???
pesa ya kujenga biggest dam in east africa 2b usd tumetoa wapi????
CCM ilikopa chini ya maji., hiyo ilisha dhihirika wazi!!., your GDP output can't even finance the recurrent expenditures ya nchi., narudia kusema, mnabebwa ujinga na serikali, yani bado unakurupuka??? govt waliwadanganya eti unemployment ni 2%, wewe na kichwa empty na blind patriotism mentality ukakimbia kupost., IMF/World Bank wakawaanika wazi wazi!., Tanzania ya vi-wonder kweli!!., Dar city ni Ulaya ya EAC Kweli., sasa mie nakubali your posts, I am your fan, keep on entertaining us. [emoji12] [emoji106]
 
I wonder mutatoa fedha ya kuijenga wapi...ama ni loan mutapewa kisha mutudanganye ati pesa cash...your punching above your weight as an ldc country..watch this space
endelea ku-wonder hivo hivo sisi twasonga mbele.
 
bado unalia na CCM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
tanzania inakunyima raha kabisa vile nyie jubilee tano tena haiwatii ujinga
ujinga iliowatia jubilee moja wapo ni hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡kutamani vya watu mkiwauliza kwann tuna GDP kubwa😝😝😝 sasa kama muna GDP kubwa kwann hamuna ajira 40%
watakwambia nchi yetu jangwaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
tano tena
 
kitu hua unanifurahisha ni vile machozi yakikutoka juu ya CCM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona mna 32% masikini wa kutupwa na 2% unemployment?., [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] Dar ni Ulaya, hapo tumamaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…