Don't tell me what to do, hata nikipenda naezaanza kuongea kichina ๐๐๐Simple I always say.
Kijana I told you to have references and evidences. Masuala ya kuongelea lugha za wengine ni utoto. English is not ur language.
unajua dogo unaandika kiingereza broken kabisa yani kama unaweza kwenda kujifunza zaidi nenda kajifunze huwezi ukawa unazungumzia jambo ambalo ni simple present ukaanza na "I" then "always" halafu mbele ya verb ukaongeza "s" au "es" yaani useme "I usually goes" ,"you always does it",yaani unakuwa huna utofauti na wale wanaosema "she don't"badala ya "she doesn't",na tabia hiyo mnayo nyinyi watumwa wanaijeria,wajamaica,wakenya,na hata wamarekani wenyewe,jamaa unakuwa umevunja rule za lugha ya kiingereza ..Nini hovyo hapo ๐๐๐, I always says is a continuous phrase and it's drammatically correct. I'll make you know these things kijana ๐๐๐
You are setting your own quiz and answering it the way you want, correct but not related to the contest.Simple I always say.
Kijana I told you to have references and evidences. Masuala ya kuongelea lugha za wengine ni utoto. English is not ur language.
๐๐๐๐๐ Lala kijanaThe word itself ALWAYS is not a present continues tense. It is a Present tense.
Present continues tense. I am going to school. Present tense: I always go to school.
wajinga kabisa hawa eti "I always says" halafu linajifanya linadinda kabisa eti liko sahihi!!Stupid.
Hivi unajua present tenses wewe!?
First and second person pronouns does not include "s". Ondoa ushamba wako. Bora ungekaa kimya tu. Unajiaibisha.
I usually goes ni yako. My friend nimekuwa nikiongea hiyo lugha right from my childhood so hueziniambia anything. We umekutana nayo kwa shule๐๐unajua dogo unaandika kiingereza broken kabisa yani kama unaweza kwenda kujifunza zaidi nenda kajifunze huwezi ukawa unazungumzia jambo ambalo ni simple present ukaanza na "I" then "always" halafu mbele ya verb ukaongeza "s" au "es" yaani useme "I usually goes" ,"you always does it",yaani unakuwa huna utofauti na wale wanaosema "she don't"badala ya "she doesn't",na tabia hiyo mnayo nyinyi watumwa wanaijeria,wajamaica,wakenya,na hata wamarekani wenyewe,jamaa unakuwa umevunja rule za lugha ya kiingereza ..
Eti nikitaka kuja tours kibera nifanyeje ??HAMUWEZANI
I want to embarrass you today acha nikuletee examples.๐๐๐ You can't use "Always and says" together unless you are in primary school.
๐๐๐๐ค๐คLook at the examples.๐๐Unaongea broken English.
You always speak broken english ๐๐๐๐
unajua dogo unazidi kujiaibisha tu hapa present continuous tense ni kama vile unasema "I am going to church now","she is cooking ugali" etc..wala hiyo always haihusiki na present conti,hiyo ni simple present kijana..acha kuandika english mbofu mbofu. !!Anneal what is present continuous tense? ๐๐๐๐
wajinga kabisa hawa eti "I always says" halafu linajifanya linadinda kabisa eti liko sahihi!!
eti nimekutana nayo kwa shule,kuna mkenya mwingine naye eti "yes your wrong"..haahaaaaaaaa nimecheka sana!!!..you need a time to learn about different things ..I usually goes ni yako. My friend nimekuwa nikiongea hiyo lugha right from my childhood so hueziniambia anything. We umekutana nayo kwa shule๐๐