Sasa tofauti iko wapi? Cbd zote zafanana. Lakini Nairobi ina secret weapon inayoitwa Upperhill na nyingine inaitwa Westlandsyani nimecheka sana hii ndio CBD nairobi
View attachment 825183
dar es salaam part of CBD ππππ
View attachment 825182View attachment 825184
Nilipokuwa nawaambia wakenya kuwa dar tuna uhaba mkubwa wa picha za kuwaonyesha na tena bado hatuna picha za maeneo mengi sana baadhi ya chokoraa wakikenya walisema tuache excuse leo picha zinaongezeka kidogo kidogo wanabaki kutoa macho....dah ni kubwa sana kaka yani nairobi inaingia mara tatu my friend unaeza amini mm sijamaliza kuijua nusu ya dar[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika weekend imeanza vyema DAR ni nomastreet view in newyork opps sorry dar[emoji116][emoji116]
View attachment 826219View attachment 826220View attachment 826221View attachment 826222View attachment 826223View attachment 826224
[emoji115] [emoji115] [emoji115]Show me a skating aren in dar like this one in Panari hotelView attachment 826231
Umeamua kuuwa kabisahehhe fun city dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 826257View attachment 826258View attachment 826260View attachment 826261View attachment 826262View attachment 826263View attachment 826264View attachment 826265
Jamaa ana excuse zakutosha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimecheka sana mara ooh nairobi ni inlanddar kwenye mambo ya starehe ndio usiguse kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jinyonge.....dar ni newyork ya africastop disrespecting New York...compare yourselves to maputo
WatajutaHalafu kuna project zaidi zaja Mbezi, Ubungo na Mbagala
Hapo hakuna cha kufanana......punguza stress mzee ojwani....Sasa tofauti iko wapi? Cbd zote zafanana. Lakini Nairobi ina secret weapon inayoitwa Upperhill na nyingine inaitwa Westlands
ndugu yangu CBD ya dar kwa density chukua CBD ya nairobi+ westland+ upper hill etcπππππSasa tofauti iko wapi? Cbd zote zafanana. Lakini Nairobi ina secret weapon inayoitwa Upperhill na nyingine inaitwa Westlands
are u mad for realukipata hio kitu kenya nzima nitag plz[emoji23][emoji23]
Suburbs zao zenyewe kila siku ni zilezile tu mara nyayo mara thika yaani tokea thread inaanza mpaka sasa .....Wakenya hawatak CBD ya dar sahv wanataka suburbs,ukiwapiga mahal wanahamisha goli. ..lakin wao kila uchao hupost angle zote za CBD yao japo wanajua kabisa tunawazidi kwa majumba ya kisasa ndio maana wanataka tubadili locations[emoji6][emoji6]
Hahaha Nairobi west ,huruma flats wakishakuwekea buruburu basi. ..Suburbs zao zenyewe kila siku ni zilezile tu mara nyayo mara thika yaani tokea thread inaanza mpaka sasa .....
Mpaka napata mashaka kwani huo mji wao watu hawazaliani ama kwa lugha nyepesi hawazidi ...sababu dayle miaka nenda rudi nj zile zile tu huku wakiwaficha kwa wale wasioishi kwenye estate
Halafu ni mikubwa .....hauipati kwa aerial view moja........Hahaha Nairobi west ,huruma flats wakishakuwekea buruburu basi. ..
Sasa Bongo ukianzia Bunju hadi chanika kuna miji mingap?
Siwanasema hakuna mabati nairobi[emoji3] [emoji115] [emoji115]Duh huu uchafu huu jameni!!!!! wakenya mwaka huu lazima wakipate chaoView attachment 826349