Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Hapa kweli kuna mjadala? Hizo rangi utafikiri taa ya kuchaji ya kichina inayouzwa Kariakoo!!!! Sijui mjinga gani aliwadanganya hata Airport muweke rangi za bendera.
Wakenya ni zero hata lile buffalo lao la 1970'swamelichora bendera yao wakati lipo kenya hawajiamini kabisa
 
Kitu inakaa greenhouse or a closed fish market...cheki hata quality vile ni substandard( best stanards though in any LDC).


New Nairobi
 
Coming up MOMBASA VS MWANZA. Second vs second.This one is done. Conclusion :Nairobi 's Economy is larger than Tanzania. Twende sasa hadi number kumi
 


Hapa kweli kuna mjadala? Hizo rangi utafikiri taa ya kuchaji ya kichina inayouzwa Kariakoo!!!! Sijui mjinga gani aliwadanganya hata Airport muweke rangi za bendera.
is tha a godown or an airport?
 
Why not Mombassa vs Zanzibar?

Zanzibar ipatie Malindi... I have been to Zanze more than half a dozen times and there is not much there. .. . Right from the cbd to Nungwi at the north
 
Me sijui hao 2.5 million residents wa kibera huwa munatoa wapi...while dar has more than 3 million living in dream housesView attachment 824172
OK, mi nataka nikuulize swali kutokana na hii screenshot yako,
Unajua maana ya "the largest urban slum in Africa"??..the largest,the largest,the largest"..wakenya mna elimu inayowafanya muwe wajinga zaidi.!
 
wakenya ni watu wa ajabu sana wao wakiona mabati yana kutu tu basi akili zao zinawaambia "hizo ni slums"..
Inabidi wabongo tuanzishe kampeni maalumu ya kuwaelimisha maana ya slum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…