There is nothing scarery in your post..its that Tanzanians aren't in twitter to post crimes in the city
mkuu huyo dogo muache ajifariji.uzuri tunazo habari za kutosha kuhusu matukio ya uhalifu na hofu iliyotanda Miongoni mwa wakazi wa nairobi.Hahaha kwahiyo umetafuta umekosa!!
Hakuna mnara wa 70m. Nairobi. na ni majengo mangapi yaliyo na minara Nairobi? Kicc, Times Tower? mind you, Kicc na Times Tower zilishapotea, kuna majumba mengi yaliyo marefu zaidiYanini
kila jengo Nairobi juu mnara
mnakuja eti 200m
hahaha mnara una 70m[emoji23] [emoji23]
heri uhesabu kweli...coz avic pekee ni sitaMpaka sasa tushaeka 5 ongoing buildings mnf 30 fl mbili kwa 30fl, mzizima mbili 35 kwa 33 na sky tower 22fl
Ubishi wakijinga huoConvert 401.68ft to meters.
and its not yet complete so its complicated. its like Sheheena Marina. liko under construction na limefika 26fl.
No accurate datas can be obtained.
MNF Square I, Dar es Salaam | 1231314 | EMPORIS
Ukweli unauma. wacha warudi hapa baada yakujenga Tower lililo 160m and above.ebu kua mpole...pia hass na montave ni twins na tunasema tu building
Ukweli unauma. wacha warudi hapa baada yakujenga Tower lililo 160m and above.ebu kua mpole...pia hass na montave ni twins na tunasema tu building
Mnachanganya topic sasa, apa ni ongoing projects za kibabe tunashusha...usilazimishe height yako mkuu kama unakiu saga chupa unywe [emoji16]Ukweli unauma. wacha warudi hapa baada yakujenga Tower lililo 160m and above.
Ukweli gani unaouma mm nilikwambia hakuna sehemu mutatoboa kwa dar tulia sasa ndo tumeanza hahaaahahhahahaUkweli unauma. wacha warudi hapa baada yakujenga Tower lililo 160m and above.
Wana height gani zaidi ya kueka Minara mm nauliza mnara ni floor au kofia inayoweza toLewa mAmbo yanataka akilI tuMnachanganya topic sasa, apa ni ongoing projects za kibabe tunashusha...usilazimishe height yako mkuu kama unakiu saga chupa unywe [emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mnachanganya topic sasa, apa ni ongoing projects za kibabe tunashusha...usilazimishe height yako mkuu kama unakiu saga chupa unywe [emoji16]
Tulia baba utakimbia mwenyewe tunataka tall buildings usiogope bado mapema sana hahhahahhahahahhahaheri uhesabu kweli...coz avic pekee ni sita
Umeanza kuogopa bado mapema yani hata robo sijafika hahahahahah wazee wa minara tulieni tuwape vitu tusikimbiane humu lakin hahhahaahahalol!!! Bongolalans... muniamshe mukishajenga jengo zaidi ya 160m. nitajikata kidole mukijenga jengo zaidi ya 200m. na nijitoe uhai mukijenga jengo zaidi ya 300m. bwaahahahahahahaha..... Hass Baby!
lol!!! Bongolalans... muniamshe mukishajenga jengo zaidi ya 160m. nitajikata kidole mukijenga jengo zaidi ya 200m. na nijitoe uhai mukijenga jengo zaidi ya 300m. bwaahahahahahahaha..... Hass Baby!
kama saa hii ndio mumeanza basi ndugu yangu kazi ipo. sis ivi vitu tulivianza miaka ya 70's.Ukweli gani unaouma mm nilikwambia hakuna sehemu mutatoboa kwa dar tulia sasa ndo tumeanza hahaaahahhahaha