Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

why JF be blocking anything to do with K.Talk?

is it true that watanzania huogopa wakenya ama ni wivu wa kike?
asking for a friend
 
why JF be blocking anything to do with K.Talk?

is it true that watanzania huogopa wakenya ama ni wivu wa kike?
asking for a friend
kiukweli hili hata mimi sijalipenda. i was banned for a couple of days only for mentioning that site in jf.
 
kiukweli hili hata mimi sijalipenda. i was banned for a couple of days only for mentioning that site in jf.
pole sana Mzee Kadoda Eleven.
nilijaribu kupitia pages za nyuma na kutaka kufungua link flani ya K.Talk ikakataa kufunguka. kuangalia kwenye search bar naona K.Talk imekua sensored na ********, karibu niseme kwani ni p0rn site haha. anyway I hope nadhani wamerealize K.Talk ni mshindani wao mkubwa na anaweza kuwapokonya market.
wacha na mi pia nisubirie ban sasa.
 
ushindani katika biashara haukwepeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…