Huna point..Dr. Magu alikuwa UDSM na hawezi zungumza kiingereza? Hii inafaa ichunguzwe hapa kuna fake degrees na Doctorate ama pia vyuo vyenu vikuu vinawafunza na Kiswahili?
Hide your stupidity young boy. You are more than this. Does doctorate inahusiana na English language!? Do you listen yourself!?Dr. Magu alikuwa UDSM na hawezi zungumza kiingereza? Hii inafaa ichunguzwe hapa kuna fake degrees na Doctorate ama pia vyuo vyenu vikuu vinawafunza na Kiswahili?
What is kiingereza?can you prove hakijui?Dr. Magu alikuwa UDSM na hawezi zungumza kiingereza? Hii inafaa ichunguzwe hapa kuna fake degrees na Doctorate ama pia vyuo vyenu vikuu vinawafunza na Kiswahili?
Kama inabadilika mbona UDSM haijakuwa top ama kutajwa top 20Iyo chuo yenu Hamna kitu inazidi UDSM ranking ni hali ya hewa tu inabadilika badilika
In normal circumstances English is always associated with high level of education so don't get angry when asked about it.Hide your stupidity young boy. You are more than this. Does doctorate inahusiana na English language!? Do you listen yourself!?
Lakini kusema kweli, English is the language of business world over. Kiswahili kitukuzwe, but ingekua vizuri sana kama mngekua mnaitambua Kiingereza pia. DIVERSITYWhat is kiingereza?can you prove hakijui?
He's better than our previous pres kwani huoni atleast he's pushing things natunasonga...tangu akiwa waziri alikua best katika utendaji which is more important than a good English speaker ambae hana dira ...na hakuenda UDSM kusoma linguistics or bach of arts in literature like you folks , kasoma kemia and maths na anaphd ya kemia
Haha kunywa maji buda! !Kama inabadilika mbona UDSM haijakuwa top ama kutajwa top 20
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kingereza tunakisoma lakin uku kiswahil sana..hakuna mashaka juu ya kingerezaLakini kusema kweli, English is the language of business world over. Kiswahili kitukuzwe, but ingekua vizuri sana kama mngekua mnaitambua Kiingereza pia. DIVERSITY View attachment 821030
Kingereza tunakisoma lakin uku kiswahil sana..hakuna mashaka juu ya kingereza
Sometimes wanaelekeza alichofundisha kwa kisw pale tu inapoonekana ni kitu kigeni sana lakin kingereza kawaida hufunzwa kwa kingerezaNiliskia mnafunzwa Kiingereza kutumia Kiswahili
Ukweli?
NimekuelewaSometimes wanaelekeza alichofundisha kwa kisw pale tu inapoonekana ni kitu kigeni sana lakin kingereza kawaida hufunzwa kwa kingereza
NaamNimekuelewa
Wako mamburula wengi wanaongea kingereza na hawana hata iyo certificateIn normal circumstances English is always associated with high level of education so don't get angry when asked about it.
Kwani ilitumia kifaransa kusoma na kuandika?Hide your stupidity young boy. You are more than this. Does doctorate inahusiana na English language!? Do you listen yourself!?
Hatupendi kujichochaNani ako na picha ya kinoru stadium awekee hawa watu wanauliza stadium nje ya Nairobi
Gor Inakuja Dar kukutana na Yanga 2nd leg [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtajua ni Mazishi![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] of course Tanzania [emoji1241] tuna football [emoji460] drama [emoji624] [emoji327] and music [emoji445]
Ila kwenye udaku haujakosea kabisa [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
My team. Yanga itapigwa kwao mabao kadhaaGor Inakuja Dar kukutana na Yanga 2nd leg [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtajua ni Mazishi!View attachment 821090
Kujionyesha hatupendi. Wakiona kinoru vile iko sawa watajinyonga