[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nyinyi mko na Sport gany mnajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nigeria ni Mpira,South Africa ni Sweeming,Kenya ni Athletics ,Uganda ni Basketball,Ethiopia Athletics, Egypt valleyball....etc lakini Tanzania ndio.... yani hakuna kitu mnajulikana nayo isipokuwa Udaku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa leo umenifurahisha.......Licha ya kina Ichoboy, Geza Ulole, Annael na wenzao I hope Tanzania hamtuchukii waKenya na nchi yetu jinsi inavyojitokeza hapa JF.
I hope tutadumisha amani, upendo na urafiki. Competition is healthy, lakini wivu ni mbaya. Kila mtu na mwendo wake.
Acha niende niwake. Naskia kwenu mnaiita kula bata [emoji23]. Sisi kula bata inamaana nyingine tofauti kabisa [emoji23][emoji1479]
[emoji134]Acha kujipendekeza kwa wanaume. We don't like you.
Wamama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na to make it worse wanakaa vizuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] View attachment 820742
they are silently admitting the fastest development progress taking place in tanzania but won't give credit openly.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama kuna Government ya Wakora na wajanja East Africa ni kenya &then you expect it to pay you[emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] labda yesu akirudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wataambiwa vile Kibaki alawaambia "KUMBAFF REGAREGA MAFI YA KUKU"masikini wakenya[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
madeni mpaka matakoni
we are hosting afcon CAF under 20 next year ...kama sikosei nyie mlishindwa kuhost chanI thought waTz walisema kwamba ati stadium yao ndo the MOST MODERN IN EAST AND CENTRAL AFRICA....hehe...sisi na "tustadium" tunaatract athletes...you guys still have a long way to goView attachment 820096
😁😁😁😁 of course Tanzania 🇹🇿 tuna football ⚽ drama 🎭 🎥 and music 🎶Nyinyi mko na Sport gany mnajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nigeria ni Mpira,South Africa ni Sweeming,Kenya ni Athletics ,Uganda ni Basketball,Ethiopia Athletics, Egypt valleyball....etc lakini Tanzania ndio.... yani hakuna kitu mnajulikana nayo isipokuwa Udaku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asanteee...ndio mkubwa sana utakua wa pili kwa ukubwa africa
tuwachukue nyie wakati hatuna tunachotegemea kutoka kwenu 😂😂Licha ya kina Ichoboy, Geza Ulole, Annael na wenzao I hope Tanzania hamtuchukii waKenya na nchi yetu jinsi inavyojitokeza hapa JF.
I hope tutadumisha amani, upendo na urafiki. Competition is healthy, lakini wivu ni mbaya. Kila mtu na mwendo wake.
Acha niende niwake. Naskia kwenu mnaiita kula bata [emoji23]. Sisi kula bata inamaana nyingine tofauti kabisa [emoji23][emoji1479]
hahahaha wanakubali kimyakimya huku wanaumia sana😂😂😂they are silently admitting the fastest development progress taking place in tanzania but won't give credit openly.
POROJOtuwachukue nyie wakati hatuna tunachotegemea kutoka kwenu [emoji23][emoji23]
nyie ndio muna wivu na tanzania na hii haikuanza leo wala jana na nakukubuka 10 yrs ago mulikua munawadharau na kuwatukana watanzani mbona hayo matusi hayapo tena hahahha mumekua wapole sasa na huu ni mwanzo tutakula sahani moja safari hii[emoji106][emoji106][emoji106]
Aqautic and indoor arenas hamna hata moja Tanzagiza...umeme ni shida na anything indoor requires electricity to function unless Tanzanians are nocturnal creatures.Reddish Track My foot...I need an Aquatic Arena And an Indoor Arena
Naona tuko ligi moja na kina India, Brazil, Ukraine, Iran na Egypt...none is LDCCountry by Democracy index
View attachment 820565
Index of Economic Freedom
View attachment 820566
View attachment 820567
Acha mawenge umeme upo hadi unamwagika...Aqautic and indoor arenas hamna hata moja Tanzagiza...umeme ni shida na anything indoor requires electricity to function unless Tanzanians are nocturnal creatures.
hehehe nakumbuka 10 yrs ago mlikua munatutukana sana lakin safari hii naewona kimya hehehhe kweli dunia inazunguka😂😂POROJO
Hakuna siku tumewachukia.. Labda kuwa dharau kiutani tu. What's there to hate about you guys anyway? Lakini, we decided to be the bigger person, tujizingatie na kujiboresha badala ya sideshows na watu wengine .
Wewe na wenzako hii yenu hata si dharau ya kiutani. Yenu ni CHUKI, WIVU na UTOTO. Yaani huku ni free comedy tuu. Mnavyofikiria inatusikitisha, inawaacha waKenya bila budi. Mnajiona mmefika. Mbona Uganda pia wanaendelea lakini wametulia?