Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leo wameona wailete na mombasa ije kusaidi nairobi dhidi ya dar πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kweli miaka imekwenda

heheh giant city inatesa watu vichwa
 
leo wameona wailete na mombasa ije kusaidi nairobi dhidi ya dar πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kweli miaka imekwenda

heheh giant city inatesa watu vichwa
Dar ni village city., a mix, Mombasa type it is not like Nairobi, Joburg, Capetown, Harare type!., it's Lagos, Kampala, Accra type, slums zao ni villagish, watu washamba na wangwana, ambaya wako mostly in Nigeria sana lakini ushamba ni kibao! sio ghetto ya wajanja, drug dealers na thugs, unapata mtoto wa primary na bunduki anakuhangaisha, kama Dandora, wajanja deadly ama in Joburg ghettos, mambo bad!!., city ya Dar imeblend African village lifestyle and modernity., wajanja wachache!
 
wajanja wachache dar,umaijua dar au unaisikia!!!,nigeria na utapeli wao wote duniani huku bongo walichemka.
wanauza maduka ya simu tu huku.
kuibia watu na bunduki sio ujanja,njoo bongo tukufunze ujanja.
 
katika madaraja hilo nalo ni daraja hehehe leo nimecheka sana nyali bridge nayo ni daraja tukuoneshe vile madaraja yanavokua???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hilo hata old salender bridge halijaligusa..
..
 
katika madaraja hilo nalo ni daraja hehehe leo nimecheka sana nyali bridge nayo ni daraja tukuoneshe vile madaraja yanavokua???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
this bridge was built before your dad was born...
 
Hahahaha mabombadier manze na ka dreamliner kamoja

wahat you guys mean by "kukopa pesa kununua Ndege" kwani how expensive could a plane be for a company which started about 30years ago? Mnajaribu kushindana na kitu ilianza zamani za kale ila nyinyi mlianza juzi

Kq hamuwezi kushindana nayo na mlianza juzi Ona sasa kq bruch Jumbo jet is now going international while nyinyi mnaenda Rwanda

Ever learned something called, rate (occurrences per unit time)? For only two years we bought 7 planes, at that rate how many do you think we are going to have in the next 8 years?

Surely a bombadier makes news in Tz![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hawa watu wanatuaibisha East Africa bana
A bird in hand is worth two in the bush.
 
Ever learned something called, rate (occurrences per unit time)? For only two years we bought 7 planes, at that rate how many do you think we are going to have in the next 8 years?
Tsk tsk tsk. This logic. But mtakuwa na like 30 planes. Mtakuwa mnatransport nini/ nyumbu from Serengeti to Gorogoro??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…