Akili yako ni yakuku unawaza flyover tu [emoji3]Ati leader in infrastructure na logisticsnjoo muone huyu jamaa...saa flyover moja na daraja ndo inainflate ego yako....brainwashed nigga...hapa free comedy tu...
Kweli kabisa hawa dar siyp level kwa sasa washindane na dodoma na mwisho wa siku itawapikuMiaka 10 kutoka Leo Dodoma wataiheshimu bila shuruti...tunapokea vijembe na maoni yenu leo. ..
DODOMA wanapata sgr pamoja na treni za umeme NBO haitatokea ndani ya miaka 20 kutoka leo
DODOMA hiyo hiyo iko na chuo kikubwa kuliko UoN lakini hawawezi kuliona ilo Leo
Pia DODOMA hakuna shanty its almost the most planned town in TZ kunajengwa is mipango sio izo slums zenu zimejaa Apo Kenya mnajipiga kifua mkitamba
We kill
Watakuambia is culture[emoji3] [emoji3] [emoji115]Duuh hayo mabasi ya Nairobi hapa Dar es Salaam yaliacha kutumiwa miaka ya 90
Mfano mzuri ni wewe tiyari ushakufa kifikraEbu leta evidence that there is a year 3million people died in Kenya out of drought and famine.
Hiyo yapasa tuiite garika[emoji3] [emoji3]
Umempa fact sana kama hajaelewa atakuwa zerooHamna mtu anachukia Kenya embu jiamini kwanza, huwez enda racing then umpe heko jirani ilhali unakila sababu ya kufanya poa kumzidi, rivarly thing ,Tz tuna kila sababu ya kuongoza ukanda huu mali tunazo,kuna mahali tulichezewa ndio inatuwekea kauzibe...lakini haituvunji moyo we work harder than ever don't chill
My mind is still sound my friend.Mfano mzuri ni wewe tiyari ushakufa kifikra
Utajua hujuikumbe you think its just a dream😀😀😀
Tanzania wanskimbiza upepo
Hatamjenge daraja 20 bado mko nyuma![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jengeni barabara kama thika super highway nikubali. By the way does Dar have any super highway?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]magu chuma hehheh😀😀😀
Mombasa kama hujui hivi karibuni inaipita dar ju Mombasa inafuata Nairobi nyuma kwa projets and soon itakuwa mbele ya DarMombasa inasumbua Mwanza nakubali. ..lakin kwa Dar itachukua miaka 4000
But not as hard as Kenya i hope you know pace ya wakenya!Hamna mtu anachukia Kenya embu jiamini kwanza, huwez enda racing then umpe heko jirani ilhali unakila sababu ya kufanya poa kumzidi, rivarly thing ,Tz tuna kila sababu ya kuongoza ukanda huu mali tunazo,kuna mahali tulichezewa ndio inatuwekea kauzibe...lakini haituvunji moyo we work harder than ever don't chill
Angalau Africa pia idevelop tuwache kudhaharauliwa na wazungu[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Dar ni noma wale wakenya chokoraa wasiotembea nnje ya kenya huwa wanafikiri dar hakuna hizi jengo
Tena zipo classic zaidi ya zile gofu za nairobi
Dj khaled huwa anasema Dar is a major key
Kabissa!! Hizi sio daladala my friend...infact it is now an Industry coming up & making kenya unique! Kenya haingoji wazungu kuwaletea vitu zao & then they expect us to follow their culture,Tanzanians need to realize wazungu sio Miungu.And thats why Nairobi is the most intelligent Country in africa,Kenya speaks for Africa when whites mistreat them ([HASHTAG]#SomeoneTell[/HASHTAG] CNN) ndio kwamaana wakenya wakitoka kuenda majuu wao hueshimiwa saana! (We Produced The 1st Black President of USA) Hii roho ndio ilifanya Mpesa ikainventiwa,Sportpesa...etc wakenya walipenda kubet games tangu hata sportpesa kuanza a culture which emerged as an Industry the same way Manganya Culture is coming upas a gaming & art Industry and soon we'll influence Others.Na mtafuata tu kama Kondoo...(Dar iko na game gani....BRT??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ) alafu mnaona mko mbele ya kenya kwa inovation yet you are being spoon fed by foreigners, you cant even design your own structures mbaka mfanyiwe hio pia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watakuambia is culture[emoji3] [emoji3] [emoji115]
Dar haiwezi fikia Mombasa hata kwa dawa. Hebu angalia infrastructure kati ya miji Hii miwili uniambie Dar imeishinda Mombasa kivipi kama Bandari yetu ndio kubwa zaidi ukanda huu, barabara pia Dar haiwezi toboa bila kuisahau SGR up and running. Hebu anzisha uzi wa Dar vs Mombasa uone tutakavyo waibisha .Mombasa inasumbua Mwanza nakubali. ..lakin kwa Dar itachukua miaka 4000
Tayari tunajua nyuma ya hizo buildings ni the biggest slum na kama nadanganya weka Picha kabla sijaweka nikuaibishe.
Wakitaka kuona superhighway live watembee Kenya ama South Africa 😀😀😀Hatamjenge daraja 20 bado mko nyuma![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jengeni barabara kama thika super highway nikubali. By the way does Dar have any super highway?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]