Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii ndiyo inayojulikana kama slum Tanzania, Weka na picha ya kibera waungwana wasipozimia huku
imagine 90% ya 1600kmsq iko hivyo darislum kisha nairobi slums ni only 5% ya 696kmsq. sasa wewe amua ni wapi pana afueni.
 
asante magu mambo yamewiva leo unatuonesha miujiza amabayo imeshindwa kufanywa na wengine 50yrs ago



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…