Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa Takataka kabisa. Mji unanuka.
 
onhoo so leo airport is not deal a place to be called a town. what about a bus stage??? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
waswahili husema kinyago ulichochonga mwenyewe hakiwez kukutisha hehehe tatizoa lako nyie vitu muhimu sana vinavohusu public hamuvitaki
health huna , airport huna, bus stage huna , so bado unataka kushindana na moshi serious???
 
Ironically speaking!? [emoji23] [emoji23] [emoji23] are you any richer than us....MKO LDC AND MNATUITA MASKINI[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kua MLDC alaf huna chakula huna maji mjini unanyaswa na wachina kwenye nchi yako unaishi kwenye slums inafaida gani???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hi picha eti mombasa nzima? Wapi nyali? Changamwe, dongo kungu, kizingo ........ . Pata adabu we mtoto ata dar haifikii mombasa
hehehhe nyali kwan hio marina naiona hapo iko wapi au unataka kunifanya siinui mombasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
I am convinced mombasa is more developed than darislum........Kenya enyewe ni BABAYAO east Africa accounting for 50% of East Africa's GDP
 
Ccm akili ya kuku shamba eka tano ishaa ndio unakuja eti mnatutwanga?? Juzi ilikua daraja la mita mia nneπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Naona maumivu yanakuingia kwelikweli. Kijana hizo ni nurseries shamba litakuwa na ekari 200+ halafu 2020 uzalishaji wa sukari unaanza. Bado kunaeneo jingine morogoro linaitwa mbigiri. Mtakimbia miaka hii.
 
you keep warning us but we keep increasing the gap.....lol.Tanzania mi huwahurumia.....Kenyans are naturally hard workers despite the challenges facing us we move on as a nation.
Tanzanians are slow in nature.....
 
natural hardworkers alaf unalala kwenye poor slums 2.5million people in kibera, wakati kumiliki ardhi ni ndoto ya mchana kweupeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
you keep warning us but we keep increasing the gap.....lol.Tanzania mi huwahurumia.....Kenyans are naturally hard workers despite the challenges facing us we move on as a nation.
Tanzanians are slow in nature.....
Pwahahahaha Hard worker!!!? Hard workers wanakufa na njaa!! Hard workers katika kuiba.
Nimefanyakazi na wakenya kijana wanachojua ni majungu tu. Pwahahahaha!!!
Mnajipa misifa ya kijinga.
If Kenyans are hard workers why your SGR inamilkiwa na wachina? Why the whole land owned by whites.
I can say Kenyans are brainwashed, guys you are under neo colonialism.
Keep on proud yourselves while your fellows dying from hunger.
 
I am convinced mombasa is more developed than darislum........Kenya enyewe ni BABAYAO east Africa accounting for 50% of East Africa's GDP
[emoji23] [emoji23] mombasa ni old town haina maajabu yoyote pale kwakwel to be honest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…