Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so unafananisha na bugando au swali langu hujalielewa nimesema nioneshe hospitali kubwa ya serekali kama bugando out of nairobi au kiswahili huelew???
Kwaivo kwa akili yako hii ambayo ni district hospital ya serikali si kubwaalafu hii yenyu imejaa uchafu ndio unapayuka hapa?
 
Labda uweke hapa vigezo vya mji kuwa jiji huko Kenya
 
heheheh tz iko motooooooooπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
lovely public areas
 
mall ni mkusanyiko wa maduka tu nothing special kwa huku TZ ila Kenya panafanywa mahali patakatifu.
hawa watu ni wajinga sana ukiwaskiliza unaeza sema wako europe kumbe mavi ya bataπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…