Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uhahhaha nonsense ever heheh yani maneno mengi sana kumbe kichwani umejaza ubuyuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
so ww pia unajiita mtanzania πŸ˜›
 
The funny thing is wakenya wote wamefika dar[emoji23] [emoji23]
 
uhahhaha nonsense ever heheh yani maneno mengi sana kumbe kichwani umejaza ubuyuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
so ww pia unajiita mtanzania πŸ˜›
Nonsense kivipi? wewe hauwezi kubali ukweli kuhusu Kenya., lako ni kufikiria Kenya watu wanaumia, propaganda za CCM toka nyakati za Nyerere, wakijibizana na Jomo Kenyatta., watanzania wamefanywa kuamini wakenya ni wabaya, wajanja na raiya hawana mashamba!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana!, mkenya akienda Tanzania shughuli za kibinafsi raiya wa kawaida na pia polisi wanamshuku sana, wengi hunyanyaswa sana!, my cousin aliwekwa kizimbani, polish walimshika kwa atm akitoa pesa wakamsingizia alitaka kuiba benki!!, ni Raila Odinga alipiga simu kijana na rafikiye akaachiliwa, the father was an mp kwa party ya Raila (ODM)., mtanzania alitembea Kenya ama kuishi hakuna mtu huwa na shughuli naye., ata kama ako na kibali ama hana, he can't be bothered. Nyie you have a wrong and misconstrued perception ya Kenya kabisaa!., Your government's inability to perform and serve its people inafunika uchi through propaganda and controlled media, na kuonyesha Kenya iko na shida hata kuliko Tanzania ili kupumbaza raiya.
Mko na tabu sana, ldc, extreme poverty, na bado hatujaongeza the relative poor populace!.,
 
Ata nishajua whats the problem...hawa watu hawana kitu kwa bongo.....all they do is praise daimond na wanaume kupenda udaku....nawahurumia akiView attachment 810559
Hao ni ambao wanajua kusoma na kuhesabu...utastaajabu usidhan ni waliofika university! !
Humu jf kuna watu uwezo wa kupangua hoja ni mdogo sana na wanadegree za kajamba nani university 254
 
Festo ulienda shule!!
Uko na sawa
 
inamaana kuna zingine nyingi ila mnazificha. Dar sio lazima ufike kwani si nyie wote mmefika Mombasa....dar vs mombasa
The funny thing is wakenya wote wamefika dar[emoji23] [emoji23]
 
ahahahah chuki zako dhidi ya CCM hazitakusaidia wala hazitabadilisha tabia ya nchi CCM itakuwepo na itatawala utake usitake upende usipende maana huna maelezo yoyote yenye maana zaidi ya chuki zako binafsi dhidi ya CCMπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

ukitaka maelezo below poverty line husika hapa
 
yani obama pia kuleta familia yake tanzania na sio kenya pia imeleta balaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ roho zinawatoka

Kwa hapo lazima iwaume, kumbuka Kuna yule maasai alinuia kumuoa bintiye Obama nadhani hapendagi ujinga asee. Sasa kaamua kwenda mwenyewe.
 
inamaana kuna zingine nyingi ila mnazificha. Dar sio lazima ufike kwani si nyie wote mmefika Mombasa....dar vs mombasa
Nikipanga kuja kenya siwez enda mombasa..nataka nije kwenye Ile mgahawa unagirrafe pale
 
ahahahah chuki zako dhidi ya CCM hazitakusaidia wala hazitabadilisha tabia ya nchi CCM itakuwepo na itatawala utake usitake upende usipende maana huna maelezo yoyote yenye maana zaidi ya chuki zako binafsi dhidi ya CCMπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tanzanians' mentality on Kenya and Kenyans is informed by mere propaganda, including CCM's over the years!. Nahurumia innocent raiya. Very gullible.
 
Tanzanians' mentality on Kenya and Kenyans is informed by mere propaganda, including CCM's over the years!. Nahurumia innocent raiya. Very gullible.
uhahahhaha leo CCM inakutoa kamasi maana hoja zako zote ni chuki dhidi ya CCM nothing elseπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


jubilee tano tena πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…