Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i wanted to say 60% i.e. 52.8 bln! 7 bln less of which by end of this year will hit $60 bln! As u r planning to borrow more!

WE WILL BORROW TILL ETERNITY.

THIS IS KENYA my fren , NOT TZ

IT DOES/SHOULD NOT CONCERN YOU
 
Traffic lights zenyewe hazifanyi. Ni kama umeme hakuna. Nyinyi mkipata electric train treni zitakwama masaa Saba kwa sababu ya umeme
New road bado hawajaanza tumia izo taa, umeme upo hadi unamwagika[emoji2][emoji2]
 
we jamaa sio mzima..!!
 
Hii ndo upuzi gani naona on Jamii forums...sa itabidi nifunge hii account.
sasa ebu muwe mnatumia akili hata kidogo basi, kwenye battle ya dar vs nai,unawekaje picha za wanawake??what for??basi bora hata wangekuwa ma-celeb??
aaghh nyie wakenya vp nyinyi??hayo ma-universty hayawasaidii??
 
kenya airways kurudi kwenye faida hio asahau tena sasa hvi atarudisha ndege za watu kwasababu kashaanza kupata ushindani mkali sana kutoka kwa majirani zake😀😀😀😀😀😀
 
Hapa ndio uzalendo unahitajika sasa,siwez panda ndege ya jirani kama ndege ya ndani ipo na kwa safari ileile...
Cha msingi ni kila nchi iimarishe soko la ndani kuvutia watu wake kwanza...
Shilingi 1 ntaitoa tu pale ambapo kwetu tumeshindwa kutoa huduma husika...
Nyumbani kwanza ndio kauli mbiu...ma-connection yanaboa sana bora kila mtu apambane na hali yake!!
 
kenya airways kurudi kwenye faida hio asahau tena sasa hvi atarudisha ndege za watu kwasababu kashaanza kupata ushindani mkali sana kutoka kwa majirani zake😀😀😀😀😀😀

Tupo busy kuirudisha heshima ya linchi likubwa EAC kiuchum, utalii, miundombinu, viwanda, kilimo, Biashara et cetera.
 

Kenya’s public debt load recently surpassed the 5 trillion shillings mark ($50 billion), renewing questions over the government’s borrowing binge, how it would show the proceeds in terms of economic growth, and whether it could repay these loans in the long run.

China now owns more than 70% of Kenya’s external debt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…