Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kibera itabaki the biggest and worse slum in the world mpaka yesu ashuke
 
alaf unemployment rate is over 40% with 47m people wakat tanzaniani 2.7 % with 53.4 kuna faida gani kwa wakenya?????
 
growing economy of 7.2 alaf unajiuliza nani atatka kufanya biashara tanzania we mzima kweli???

tatizo lenu nyinyi leo hii munashindwa kukubali kwa munachokiona hehhehe😀😀😀
 
TanzaGIZA (32% access to electricity)
Kenya 2016: 56% 2018: 73% [emoji88][emoji88][emoji88][emoji88]
 
Unajua kujifrahisha sana...nazitajengwa hadi upate ufahamu...Dar kuna Nyumba nyingi sana watu wamefunguka na bizz vyakutosha...Endelea kuomba usiku jua liwake
hehehhe jamaa naona anayoyaona leo hayaamini😀😀
 
Unajua kujifrahisha sana...nazitajengwa hadi upate ufahamu...Dar kuna Nyumba nyingi sana watu wamefunguka na bizz vyakutosha...Endelea kuomba usiku jua liwake
Ata kama anaongeza chumvi kuna ukweli ndani ya maneno yake pspf na tpa occupancy ndongo sana kwanza pspf ndo maana picha mingi za dar usiku hayo majengo ni giza tupu
 
Ata kama anaongeza chumvi kuna ukweli ndani ya maneno yake pspf na tpa occupancy ndongo sana kwanza pspf ndo maana picha mingi za dar usiku hayo majengo ni giza tupu
ofisi za watu sio kila ofisi inafanya kazi 24hrs😀😀
 
Hii ndio wap atleast imetulia maybe onyesha zaidi inaweza menyana na Upanga...Upanga ziko nyumba zakutosha na classic
Hapo ni kilimani sijui kama mwenzako anaona kuna projects mingi sana za apartments ziko u/c
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…