Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nadhani team zingine za kenya hazina uwezo wa kushiriki haya mashindano. ni gormahia pekee.
Kwani hizo za Tz ndio zinaweza?? Mnajiwekea timu 4 ndio mkuwe na advantage msitolewe mapema na bado zitapigwa zoote[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hizo matukunyema zenu zinazingua..........hazia mvuto chief bora ukaushe tu
 
huo ni ushamba wa hali ya juu, yaani katika karne hii ya maendeleo ya digitali bado mtu unaenda ku-enjoy mziki wenye makelele kwenye matatu?. smh.

wastaarabu tunapo panda kwenye public transport huwa hatupendi kelele. kila mtu anakuwa busy katika utulivu wa kutafakari mambo yake.

kwa sisi tunaopeda mziki, huwa tunavaa earphone au headphones tukisikiliza mziki kupitia smartphone zetu huku safari inaendelea mpaka mwisho wa safari bila kumkwaza mtu kwa makelele ya kijinga

this is what is supposed to be done in a decent public transport vehicle.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

 
yap....yaani ile roho inapenda......unasikiliza ukipendacho siyo akipendacho dereva
 
Hebu leta zile picha za dream houses zenu za Dar leo tuyaone. it's been long since uzilete
lini utaachana na bedsitter hapo nairobi?.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

toka kwamza kwa bedsitter ndio ukuje nikupostie dream houses za dar es salaam. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yap....yaani ile roho inapenda......unasikiliza ukipendacho siyo akipendacho dereva
halafu mamiziki yao kwenye matatu ni yale mariddim ya wavuta bangi wa visiwa vya caribbean.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
halafu mamiziki yao kwenye matatu ni yale mariddim ya wavuta bangi wa visiwa vya caribbean.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani ni local.....sana hawa wakenya hayo mambo yaku pimp usafiri wa kupakiza abiria kwa kuweka mziki dar tulishaachanaga nayo
 
pale rapper wakikenya octopizzo anapotoa hit kali ndani ya kenya...[emoji2] [emoji2] [emoji2]


The guy has 2.9m views atleast he got paid even if hes wack he atleast tried to try unlike some lazy ass haters ,respect south sudanese humble beginnings
 
The guy has 2.9m views atleast he got paid even if hes wack he atleast tried to try unlike some lazy ass haters ,respect south sudanese humble beginnings
Octopizzo......huyo[emoji115] [emoji115]
 
Kenya kugeuza matatu ziwe 'nightclub' ina maana hamna sehemu proper za kufanyia starehe!?
 
Kenya kugeuza matatu ziwe 'nightclub' ina maana hamna sehemu proper za kufanyia starehe!?
What?? We unajua Kwa clubs Nairobi inaingia dar mara 20!!.. Infact KILELESHWA PEKEE imetoa dar yote[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hio ni Coach bus hii ni SOKO ya BRT!! [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] Alafu nani alikudanganya hatuna Coach buses pundaii... Tuko na a variety to choose from like NYS buses... City hoppas, MANGANYA, na Matatu... When it comes to Civilization we lead buda!! We've got Swag and Civilization in the same Roof..
 

Attachments

  • brand_259_583c05cf4bd2e.jpg
    64.8 KB · Views: 41
Kijana kwenye Transport usijaribu kabisa kujiringanisha na TZ labda wewe ni mshamba fulani. Ndiyo maana wenzako don't support you. Because you don't have exposure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…