Sasa kwa hiyo link ni wapi inasema 40%? Ama kazi yenu ni kuleta links ambazo hata hamjasoma bora tu ulete ulete
KAKAMEGA HOMEBOYZ 2-1 YANGA
hao ni team B hakuna mchezaji hata mmoja anacheza ligi kuu hapo wala usijipe matumaini hata simba wamekuja team BMibongo kweli bure kabisa! kakamega homeboiz 3 - 1 Yanga
Ile Yanga tunaskia inachukuaga hio ligi yenu mfululizo kama Real Madrid
Mashabiki tunaumiaaaa ππ
Watajua hawajuiKAKAMEGA HOMEBOYZ 3-YANGA - 1
Pia Homeboyz in team B....kwa hivo usijiriwaze burehao ni team B hakuna mchezaji hata mmoja anacheza ligi kuu hapo wala usijipe matumaini hata simba wamekuja team B
so nioneshe mchezaj hata mmoja anaecheza ligi kuu hapoπππππPia Homeboyz in team B....kwa hivo usijiriwaze bure
Ubaya ni kwamba hamujui kufanya research before posting things here on jf. This same website quotes Tanzania's unemployment rate at 10.30% against Kenya's 11%. Thatbone aside, you should have looked at the different important statistics provided by the site like Minimum Wage, Living Wage Individual, High Wage Skilled, Living Wage Family etc between these two countries. Kenya scores high on all these yet mnapiga kelele hapa. Fir instance, Living Wage Individual in Tanzania is 305,500 (approximately Ksh15,000) while in Kenya it stands at Ksh24,000. Hakuna siku Tanzania itashinda Kenya in anythingUmepitia hapa lakini kijana?
Kenya Unemployment Rate | 1991-2018 | Data | Chart | Calendar | Forecast
hatari tupu mkuu,,,haya linakuja jitu limeshindwa hata kutofautisha ujenzi na uchoraji na kujiona anajua kila kitu kumbe kichwa boxhebu angalia hzi ndio nyumba wanaishi binaadamu
yanga haipo kwenye fom sasa hivi team ina migogoro....Mibongo kweli bure kabisa! kakamega homeboiz 3 - 1 Yanga
Ile Yanga tunaskia inachukuaga hio ligi yenu mfululizo kama Real Madrid
Mashabiki tunaumiaaaa ππ
wewe tatizo lako ukweli hua hutakiππUbaya ni kwamba hamujui kufanya research before posting things here on jf. This same website quotes Tanzania's unemployment rate at 10.30% against Kenya's 11%. Thatbone aside, you should have looked at the different important statistics provided by the site like Minimum Wage, Living Wage Individual, High Wage Skilled, Living Wage Family etc between these two countries. Kenya scores high on all these yet mnapiga kelele hapa. Fir instance, Living Wage Individual in Tanzania is 305,500 (approximately Ksh15,000) while in Kenya it stands at Ksh24,000. Hakuna siku Tanzania itashinda Kenya in anything
Hii Yanga ndo ile timu iko na ifisi kubwa kushinda ya Gor ama hii ni ingine? Hahaha....si wangeingiza ile ofisi wabongo wanatuonyesha hapa iwafungie mabao. Juzi waltwangwa na MC Algiers sasa KK HomeboyzFull time:KAKAMEGA HOMEBOYZ 3-1 YANGA
Sisi wakenya hatujawahi amini watanzania wanaweza kutushinda kwa loloteso nioneshe mchezaj hata mmoja anaecheza ligi kuu hapoπππππ
Jamaa hadi wanalia machoziHii Yanga ndo ile timu iko na ifisi kubwa kushinda ya Gor ama hii ni ingine? Hahaha....si wangeingiza ile ofisi wabongo wanatuonyesha hapa iwafungie mabao. Juzi waltwangwa na MC Algiers sasa KK Homeboyz