Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanians kujeni hata mpime towns zenu hizo na zetu mtakubali mko nyuma kweli....hata malindi ni kubwa kuliko tanga but its not yet a city
is eldoret a city???πŸ˜€πŸ˜€ is kisumu a city???
 
Wakamba ni Wakamba Nauliza Msukuma ndio gani?? I know 0 things about Tz teach me[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mm siwajui wakamba ni watu gani na sijui wanatoka county gani??? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ heheh tanzania ni nchi kubwa sana yenye makabila zaidi ya mia lakini ndio the most peaceful country in africa
 
Sportpesa inadhamini team,azam yuko na yake kabisa.azam sports club.

Halafu sportpesa kwa tz ni upuuzi tu,huwezi iweka ligi na role ya azam tz.
hehehe hawaijui azam vzr hawa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
wakenya hvi hii sigiri bridge ilijengwa tena??



ikiwa less than 100meter bridge inakua hvi je mutaweza kweli kujenga bridges ya over 400meters and above kama hzi??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
This is Kisumu the west side city.. Kisumu inaingia Kwanza mara 5 bro... Ujue sitaki nikuaibishe leo so siweki BARABARANI za kisumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…