Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ety slum probability yangu kuishi slum ni 0.4 yako ni 0.7...so at 0.05 level of significance ur likely to be in a slum
Serengeti Boys wameanza safari ya AFCON U-17 Gabon leo April 5


 
Iyo ni mzuri but sasa Nairobi projects zinaendelea ni wazimu....outering super highway ni 10 lanes na kuna underpass na flyovers(sidani kuna underpass tz)...highway juu ya highway kutoka airport hadi waiyaki way..sgr ilisha fika kitambo...kibera upgrading etcprojects hapa ni +100 ndio nakusho si ati Nairobi inalala
 
Pia tunainua 3level ubungo interchange sahv,tazara flyover na tabata flyover simultaneously....expressway dar to chalinze 6 lanes toll road..mbezi mwisho bus terminal ya kisasa pia
 
Profesa Muhongo Akutana Na Wasambazaji Wa Gesi Majumbani Jijini Dar Es Salaam

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akiongoza kikao kilichoshirikisha kampuni zinazohusika na usambazaji wa gesi majumbani pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta (PURA) na Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja nchini (PBPA).

Profesa Muhongo Akutana Na Wasambazaji Wa Gesi Majumbani Jijini Dar Es Salaam - MUUNGWANA BLOG

Yaani hawa watu wa Nairobi tuwapiga kotekote. Kwikwikwi

Bilioni 2 Zahitajika kusambaza gesi majumbani......Serikali yasema mradi utakamilika Julai, yafafanua mipango iliyopo | MPEKUZI
 
Haha turkana kuna oil msee.....sasa towers mbili inawachocha hadi mnasema new daressalaam....he he man do you know nai has 164 class hotels to dar 100....na mko na beach aibu kubwa
Mbaona njaa kubwa sana huko Turkana na watu wanakufa ovyo!?
 
Iyo ilifanywa nai before uzaliwe
 
Nairobi

Dar is slum
 
Iyo ilifanywa nai before uzaliwe
Kwikwikwikwi!! Ndiyo maana nikasema wewe ni mshamba sana. Hapo Nairobi mpo na Natural gas? Au unaongelea Gas za mitungi. Kwikwikwikwikwi. Dar ni mziki mkubwa wewe tulia tukupatie mambo. Hapa utavimba mpaka utapasuka, Kwikwikwikwi.
 
Mbaona njaa kubwa sana huko Turkana na watu wanakufa ovyo!?
Oil inaanza kuuzwa this year turkana itasahau njaa..alafu turkana ni desert about 2/3 ya Kenya ni arid and semi arid..nyinyi Hanna desert,mko na minerals na Kenya inawashinda economy.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mlirogwa na na ni na akakufa jameni
 
Kwikwikwikwi!! Ndiyo maana nikasema wewe ni mshamba sana. Hapo Nairobi mpo na Natural gas? Au unaongelea Gas za mitungi. Kwikwikwikwikwi. Dar ni mziki mkubwa wewe tulia tukupatie mambo. Hapa utavimba mpaka utapasuka, Kwikwikwikwi.
Ebu soma statement yako umesema kusambaza kwani kusambaza lazima ukue nayo tuna importigi then tunasambaza kwani umenyanduliwa anal ama
 
Sasa ulishaona mtu anakufa na njaa TZ. Mbona Egypt ni jangwa lakini hawafi na njaa. Nyie ni wazembe na mazezeta.
Mafuta yakianza kutoka tu lazima mtaanza kuwa na war Kenya vs Turkana Republic
 
Ebu soma statement yako umesema kusambaza kwani kusambaza lazima ukue nayo tuna importigi then tunasambaza kwani umenyanduliwa anal ama
Leta reference hapa tuone. Kwikwikwi toa ushamba wako dogo wa Turkana. Kwikwikwi.
 
Leta reference hapa tuone. Kwikwikwi toa ushamba wako dogo wa Turkana. Kwikwikwi.
Kwenda uko ati reference si uko na google u confirm...kwanza umelenga story yama hoteli..yaani hoteli tunawadwaft....nlikuambia uache ushogaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…