Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa sioni ya hizo helaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ukishuka hapo chini hutaamini nyumba utakazozikuta. Tz ni tofauti sana na nchi nyingi duniani. Unaweza kwenda Manzese ukakutana na nyumba ukajiulize imekuwaje ipo Manzese. Ungekuwa mwenyeji Dar ningekwambia upite njia ya Tandale inayotoka Magomeni hapo katikati kuna nyumba za ghorofa huwezi kuamini kama zipo hapo uswazi. Tena moja jamaa huwa anajaza magari parking kuna VX,RR,X5,Jeep Grand Cherokee latest models.
 
Nimesoma pahali alisomea Kenya from Moshi...iyo kizungu anaimba si ya bongo.
 
Hahaha Mnapata revenue kiasi gani...
huhu iyo nyumba ni only 10M Kenyan shilling....
porojo... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

endeleeni kufanya music tour mashinani... wasanii wetu kila siku wanapanda ndege kwenda kufanya show nchi za nje.
 
Pinpoint your location hapa
 
porojo... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

endeleeni kufanya music tour mashinani... wasanii wetu kila siku wanapanda ndege kwenda kufanya show nchi za nje.
Pia huku wao hufanya ivo...si kitu ya kujivunia...ata madj kama kina Kalonje,Mfalme,Creme wao upiga shows kibao abroad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…