Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iyo ni pesa kidogo sana kijana...
wengine wananunua nyumba za Ksh.900M wewe unaongelea 20!!!!
waaafrika acheni ujinga
uhahaha kwan uliambiwa hio nyumba ananunuliwa ndio inathaman kubwa sana dar πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mbona hua unakua bogus sana hio ni nyumba ya kawaida sana dar na unaeza kuta iko mbezi beach over 30km from CBDπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
dharau zenu ndizo ziliwafkisha hapa mulipo dont take everything simple tu kariakoo kununua kiwanja tu naongelea kiwanja tu not less than 2b tsh and above
 
Weka picha babaa punguza longolongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…