Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna zingine hadi wanasema ni za Congo na Sierra Leone! Wabongo ni watu wa ajabu sana...Nashangaa mbona wanajigamba hapa vile wako na nyumba Dar, eti wao hawapangishi. Kama hizo ndo nyumba wacha tu ikae
walileta wenzio kina collo mzii tukamletea ushshidi kua ni siera lione akakimbia mpaka leo hayupoπŸ˜€πŸ˜€

endeleeni kuokota picha za google ila dar itawanyima usingizi mpaka yesu ashukeπŸ˜›
 
Ichoboy bado unaitaji linkπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€View attachment 787762 View attachment 787763
nitumie hio link nikunyooshe heheh πŸ˜€πŸ˜€
tuma link hapa kama we mwanaume mwenye makende alaf uone
we dawa yako ni ndogo sana tuma link hapa

tanzania nzima huwez pata nyumba wall ni mabati sasa kama ww mwanaume wa kweli tuma link alaf uone kama jamii forum hukupachukia
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…