Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Community area with Westlands and Kileleshwa estates in the background
 
Lusematic, Dar kuna eststes zimepangwa vizuri tena sana ila ni chache. Japo mimi si mkazi wa Dar, lakini zile estates kidogo ziko na mpangilio ni zile za matajiri haswa zile ziko kando ya bahari. Naweza sema hizo ni Oysterbay? Mikocheni, Upanga, and such like estates. Hapo ndo Dar na Nairobi zinatofautiana. Mfano, kwa hizo picha zote nilizoleta, mbili au tatu ndio mitaa za upper middle class na pengine moja ndio ya matajiri lakini utaona ile level ya mpangilio ziko nazo jambo ambalo haliko Dar. Donholm, kwa mfano, ni mtaa wa kawaida sana Nairobi ila iko na nyumba nzuri tena planning pia iko. Yote tisa, tieni bidii mupange mitaa zenu kwa sababu itapatia dar mvuto fulani ambayo kusema kweli kwa sasa haipo
 
tupeane mda wapendwa wakinairobae[emoji2] [emoji2]

1.TAZARA FLY OVER
2.UBUNGO INTERCHANGE & HIGHWAY
3.UBUNGO TO CHALINZE 6LANE
4.NEW BRT around the city town to mbagala,Moroco to tegeta and Gongolamboto

5.SURENDA BRIDGE.....haPa ni mwendo wakucheza juy ya bahari

SOON
 
Hata mkiweka hizo zote bado Nairobi hamjafika nusu yake.
 
Unaposema ziko local nje hadi ndani unamaanisha nini?
hazipo kwenye mvuto .......yaani zinamuonekano mbaya

mfano tizama hizo estate zenu ambazo zipo kwenye ule mrejesho wako wa aerial view ...ni mbaya ila kilichozibeba ni mpangilio tu,,
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Unaposema ziko local nje hadi ndani unamaanisha nini?
tuache ushabiki hebu tuweke unafki pembeni nilichokuwa namaanisha ni hiki hapo ni githurai nairobi na moja ya picha ni likoni......

na hiki kitu ndicho kinachofanya dar iwapige bao
kweli hizi ndiyo nyumba bora unazosema zilizopo naitobi...[emoji2] [emoji2] tuache utani EAST AFRICA tunasafari ndefu........kwa ndipo tunapojitambia humo kwa aerial view
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…