Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu walidhani wameweza.kumbe wanatakiwa kukaza mat*ako.
Hahahaha. Ninawachezesha kweli. Ninatupi kitu kibaya kibaya halafu wanakuja kichwa kichwa nawagonga za ukweli. Hahaha. Sasa hivi wameishiwa hutawaona tena.
 
Mimi nilishaidharau muda tu Nairobi. Hakuna kitu huko. Nilitegemea utaleta vitu vya maana nimeona unatuchafulia tu thread.
unajua nimegundua huyu jamaa analeta hotel mpaka za kwenye national park sijui ushaona hilo??😀😀😀
 
Sophia House Hotel Dar Es Salaam


 
tatizo hauijui dar......na ushukuru sana hatuna wingi wa picha za aerial view za makazi ....

ila kuna sehemu nyingi na nikubwa sana zikipigwa pucha kwa juu unapata view hata 50 tena zikiwa ni mitaa tofauti tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…