Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katama sasa mnahangaika nn na BRT wakat hamna infrastructure zakusupport pambaneni na hali yenu shubaamit
na bado wataisoma kutoka dar....yaani brt inakuwepo pia hizo 6,8 lane zinakuja
 
aisee ni kama ulaya vile[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
go to youtube and watch Chris Brown and Rick Ross' perfomances in Mombasa and Nairobi respectively. wabongolala hawajazoea mambo haya
 
go to youtube and watch Chris Brown and Rick Ross' perfomances in Mombasa and Nairobi respectively. wabongolala hawajazoea mambo haya
walivyo perfom walikupa fursa yakupata pesa ama uliishia kukenua meno kipitia youtube.....?

acha ushamba ni vitu vya kawaida sana hivyo
 
Tulingianga na moja Tz some years back and was shocked to see the whole village running behind us shocked, baffled and excited at the sight of such an amazing creation never witnessed in that wilderness of Tanganyika.
 
Lazima wawakimbize,gari inakaa kama pambo la keki ya berthday.

Na mkija tena safari hii mtakimbizwa na nyuki.
 
INFACT MATATU CULTURE IS ATREND IN EVERY KENYAN CITY MOMBASA SPECIALIZED ON 14 SEATRS[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[HASHTAG]#KENYA[/HASHTAG] HAS GOT TALENT!!
 
Hata Diamond wenyu pia amechorwa. There is no need for hard feelings
 
Tulingianga na moja Tz some years back and was shocked to see the whole village running behind us shocked, baffled and excited at the sight of such an amazing creation never witnessed in that wilderness of Tanganyika.
GHAI[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] WACHA!!.... BY THE WAY KAMA WE NI MUTU WA DAR BASI UKO KIJIJINI.... FIKA NAIROBI MJIONEE MIUJIZA[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wazungu wanatoka Mbali na nyinyi ni majirani na hamjafika nai[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mat za Nairobi Ni Zii.... BRT POTELEA MBALI..... KENYA ITABAKI KENYA AU SIO.... HUYU JAMAA ANAJIITA SIJUI ANAEL ANAFAA KUFIKA JIJI... Matwana hayoo[emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…