Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza Kenya ndo iko na the highest number of internet penetration more than any African state with a percentage of 85% of all population (43,329,434 out of 50,950,879)
This is load of shit so even infants are surfing the web now from the leabor wards?
 
Kenya ni 43 million...Ama unapinga nikuletee sourceπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
so mpaka watoto wanaozaliwa leo wanatumia internetπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kenya population is 50 wanaitumia internet 43 ar u crazy au????
 
According to you how many under 10yrs do you think we have in Kenya, coz hao ndo tunaezasema hawana simu but over 10 wengi wao wako nazo
 
Umejua kitu watu walikuwa wanaongelea kweli weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...Ama ni kuropokwa ndo zako
we unataka kutuongopea hapa kwamba YouTube sio app,bisha nikuletee ushahidi..
 
My IQ is greater than your kinsmen's combine....Wewe hata ungezaliwa thong' upotee uko kwa rasa ya Vera SidikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ouch...!!! hahahahaha...it's calling hitting below the belt. That must be so painful ichoboy. Isn't it?
 
According to you how many under 10yrs do you think we have in Kenya, coz hao ndo tunaezasema hawana simu but over 10 wengi wao wako nazo
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ katika siku umeingia choo cha kike alaf ukatoka na tight ndio leo yani below 10yrs wanatumia internet hehe kumbe nabishana na kilazaπŸ˜›πŸ˜›
 
This is load of shit so even infants are surfing the web now from the leabor wards?
Which infant are you talking about, the mother or the babyπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...Nimejua nimekuconfuse but dont worryπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ouch...!!! hahahahaha...it's calling hitting below the belt. That must be so painful ichoboy. Isn't it?
huyo ni mtoto mdogo sana mwenye mawazo ya kunywa maziwa ya mama bado toka jana maongez yake yote ni pumba tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
50million population alaf 43million use internet heheehh leo nimecheka sana πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
we unataka kutuongopea hapa kwamba YouTube sio app,bisha nikuletee ushahidi..
Do you really have to prove that YouTube is an app? How stupid can some people be! Halafu hakuna mtu alikuwa anakataa YouTube sio app, sema tu umeingia kwenye mjadala katikati haujui nini ilikuwa ikiendelea
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ katika siku umeingia choo cha kike alaf ukatoka na tight ndio leo yani below 10yrs wanatumia internet hehe kumbe nabishana na kilazaπŸ˜›πŸ˜›
I know it looks owkward to you but believe me not, ni ukweli
 
My IQ is greater than your kinsmen's combine....Wewe hata ungezaliwa thong' upotee uko kwa rasa ya Vera SidikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hasira za mkiziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Do you really have to prove that YouTube is an app? How stupid can some people be! Halafu hakuna mtu alikuwa anakataa YouTube sio app, sema tu umeingia kwenye mjadala katikati haujui nini ilikuwa ikiendelea
ebu muulize kilaza mwenzako!!mnagongana wenyewe kwa wenyewe aisee kama wakenya wote mko hivi nampa heko magufuli kukataa free movement kati ya bongo na Kenya msije kutuambukiza ujinga!!
 
huyo ni mtoto mdogo sana mwenye mawazo ya kunywa maziwa ya mama bado toka jana maongez yake yote ni pumba tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
50million population alaf 43million use internet heheehh leo nimecheka sana πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Mtu alipost gazeti ingine hapa ati Wtz wanatumia asilimia moja ya akili yao, Ichoboy i hope we si moja waoπŸ˜€πŸ˜€
 
ebwanaeeeeee duh!!hiyo inaitwa njaa Kali..
 
ebu muulize kilaza mwenzako!!mnagongana wenyewe kwa wenyewe aisee kama wakenya wote mko hivi nampa heko magufuli kukataa free movement kati ya bongo na Kenya msije kutuambukiza ujinga!!
Ebu niambie kitu ilileta mambo ya You Tube kwanza before uanza kuongea matope hapa hivi...Unaropokwa kama kihara ajeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hata Ethiopia iko na the same problem na Sudan even worse.... [HASHTAG]#GDP[/HASHTAG] ya Sudan INAWEZA Gawa ya TZ MARA Tatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sasa huo ni uchumi wa kijinga!!tunawakamata makundi ya waethiopoia kila siku huku tz!ebu kuwa siriasi unakuwa na uchumi mkubwa afu raia wanateseka kama wapo kuzimu na ndo maana waethiopia,wakenya,wasudan kutwa wanakimbia nchi zao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…