NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,278
- 19,616
Narudia mara ya kumi, tazama video 7:01. Kama ni bundles huna sema.ππππhakuna neno katamka 35 floors huyu jamaa sijui kama anajielewa nimeskia 5floor ambazo ziko chiniππ
Shida ni kiingereza ama nini? Hivi sasa unasema TPA ina 5 floors?ππ Narudia, tazama video dakika 7:01.πππhajasema neno 35floors kazungumzia 5floors tu πππππππ na sijaskia neno 35floors
Hii kitu hatari sana east and central Africa hakunaga, bongo nenda zako.Bus Terminal- Dar Es Salaam coming soonView attachment 772882View attachment 772883View attachment 772884View attachment 772885
Nynyi ni wabishi kweli. Mbona mnalazimisha hilo jengo liwe la 40 floors wakati hata 36 hsiwezi fika? kwa akili yako, unaona yawezekana kwamba kutoka hapo alipoanza kuhesabia gorofa ya kwanza kurudi chini hadi mahali hilo gari liko linaweza beba gorofa sita? Nakuiza hivyo kwa sababu alipoanza kuhesabia hadi juu kabisa sote tunaona ni 34 floors. Halafu ujue kuna majumba yako na kitu inaitwa "mezzanine floor." Wachane kulazimisha ujinga, tunajua nyinyi sio wajinga kiasi hichoovyooo kbsa[emoji23][emoji23]...mbona hujaanzia hapo chini ya moja yako? kumbuka jengo limeanzia level ya chin usawa na hilo gari kwa nje...so ungeanza na moja hapo chini ulipoweka wew moja... na pia kule juu hapo haikuwa mwisho ndio mana nilikuambia anza kuhesabu mpka yellow then umalizie yellow kwenda juu kwa jengo lililokamilika
hakuna neno 35floors sasa we vp nimeskiza kwanzia 6.40 to 7.30 hakuna neno 35floors πππππNarudia mara ya kumi, tazama video 7:01. Kama ni bundles huna sema.ππππ
mwisho wa mwaka huu wakenya watakua hawapo humu ndaniππππHii kitu hatari sana east and central Africa hakunaga, bongo nenda zako.
huyu anasema 36 hehhe nairobiwalker anasema 35 nani mwaminifu kati yenu???ππππNynyi ni wabishi kweli. Mbona mnalazimisha hilo jengo liwe la 40 floors wakati hata 36 hsiwezi fika? kwa akili yako, unaona yawezekana kwamba kutoka hapo alipoanza kuhesabia gorofa ya kwanza kurudi chini hadi mahali hilo gari liko linaweza beba gorofa sita? Nakuiza hivyo kwa sababu alipoanza kuhesabia hadi juu kabisa sote tunaona ni 34 floors. Halafu ujue kuna majumba yako na kitu inaitwa "mezzanine floor." Wachane kulazimisha ujinga, tunajua nyinyi sio wajinga kiasi hicho
The three blue towers as usual. Hakuna kipya mnaweza onyeshawakenya awakiona ma vitu haya wanachanganyikiwa
Basi ni wazi kuwa huelewi kiingereza maana kila anayesikiza hiyo video anaskia architect akisema jengo ni 35 floors dakika ya 7:01. Labda urudi shule ama usikize video kwa makini zaidi. 7:01.πππhakuna neno 35floors sasa we vp nimeskiza kwanzia 6.40 to 7.30 hakuna neno 35floors πππππ
Nishakueleza mimi namquote architect mwenyewe aliyedesign na kusupervise ujenzi wa jengo hili. Tazama video dakika ya 7:01πππhuyu anasema 36 hehhe nairobiwalker anasema 35 nani mwaminifu kati yenu???ππππ
TPA inawapasua vichwaππππ
Wewe jamaa ni kilaza kwelihakuna neno kasema 35fl usinifanye mm poyoyo
πππππ unaniletea utani mm
Avic is 70% done so tulia kaka. Halafu what's the difference between something that is in its final touches with something still under construction? Aren't they all still under construction? Ama hiyo ya Dar ishaanza kupokea wageni? 43 tall hotel tower, the first in east and central africaSo you mean ita kuja sio ipo, we have the hotel on its final touches wewe unazungumzia will sio mbaya muda ukifika muwike sahv wacheni kabisa
Jamaa nampa hadi the exact point Main Architect amesema ni 35 floors na bado anakana. Yaani sijui kiingereza ndio ngumu ama jamaa ndio akili mavi.ππππWewe jamaa ni kilaza kweli
Nimesema hata 36 HAIWEZI FIKA, meaning it's 35. Nini ngumu hapo ya kushindwa kuelewa wewe mwarabu? Au ni ubishi ndio unapendahuyu anasema 36 hehhe nairobiwalker anasema 35 nani mwaminifu kati yenu???ππππ
TPA inawapasua vichwaππππ
6.55 na quote βthe highest building in dar es salaam that is tanzania port authority, just about that meter from sea level are the five floorsβ 7.06 wapi neno 35 floors ametamka leo utanieleza vzrππNishakueleza mimi namquote architect mwenyewe aliyedesign na kusupervise ujenzi wa jengo hili. Tazama video dakika ya 7:01πππ
HAWAJUI MATATU CULTURE NI TOURIST ATTRACTION
uhahahha ushabadilisha tayariiππππ asante leo pamoto naonaNimesema hata 36 HAIWEZI FIKA, meaning it's 35. Nini ngumu hapo ya kushindwa kuelewa wewe mwarabu? Au ni ubishi ndio unapenda
Tangu lini mtanzania akaelewa kizungu? Hapo ni kama kupigia mbuzi guitar, especially huyu ichoboy. Mtabidhana mwishowe ataanza matusiBasi ni wazi kuwa huelewi kiingereza maana kila anayesikiza hiyo video anaskia architect akisema jengo ni 35 floors dakika ya 7:01. Labda urudi shule ama usikize video kwa makini zaidi. 7:01.πππ
karibu kwenye mjadala wapi kasema neno 35floors tuonesheπππππWewe jamaa ni kilaza kweli