NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,170
- 19,452
ngoja sote wanaosema hili jengo ni 35fl au 40fl kwa pamoja tuondoe utata! maana mwenyewe nataka nijue ukweli...
tuanze, mpaka hapo kweny hili jengo ulilopost [emoji115]... kutoka chin mpka kweny hio rangi ya njano kwa chini kuna floors 16, right?
then ongezea na hiz floors kuanzia kweny yellow mpka juu kabsa [emoji116]sote tujue kuna floors ngap!
aliyehesabu hatujuze ziko ngap!! [emoji1621][emoji1621]View attachment 773290
NANI ALIKUDANGANYAdodoma conventional center hakuna ya kufanana yano nje ya nairobiππππ
Ungekua na bidii hii shule ungekua mbali sana[emoji23] [emoji23]Hilo hapo.............Wabongo na kuongeza floors kwenye jengo.
View attachment 773491
Nice hii ni kitu cha msingi sanaMombasa-Kenya
Saving time the Kenyan way.
Cargo Trains will meet Cargo Ships in the ocean allowing cargo to be loaded straight from ships into the train wagons !
First in Africa.
THE FUNNY THING HAO WALI IMPORT ZETU ZILITENGENEZWA KAMITI MAXIMUM PRISON KENYACompare the quality of seats then uongee. Hizo za parliament yenu zinakaa za receptionist while zetu zinakaa za mdosi mwenyewe. πππ BTW both parliaments were designed by the same Kenyan.
Bunge la Kenya limefinyika finyika kama uchochorohaya zungumza ukiwa na akili timamuππππππ
huu uchafu unaeza fananaisha na bunge la tanzania
tanzania
haya zungumza ukiwa na akili timamuππππππ
huu uchafu unaeza fananaisha na bunge la tanzania
tanzania
USHAMBABunge la Kenya limefinyika finyika kama uchochoro
Usitumie kigezo cha wazungu kuhalalisha upumbavuUSHAMBA
THIS IS CONGRESS HOUSE USA
HOUSE OF COMMONS UNITED KINGDOM
OutdatedUSHAMBA
THIS IS CONGRESS HOUSE USA
HOUSE OF COMMONS UNITED KINGDOM
NATIONAL ASSEMBLY KENYA
Did you forget that the tallest tower at Avic (43 floors) will house the Marriott hotel international? Nakuambia number mtasoma kabisaSoma maandishi vizur acha mawenge!!
Na ndio utuonyeshe iyo unayosema iko Nbo isiwe ni proposed project unazungumzia hapa
Jifunze jinsi gorofa zinavyohesabiwa kwa jengo ndio uniquote.ovyooo kbsa[emoji23][emoji23]...mbona hujaanzia hapo chini ya moja yako? kumbuka jengo limeanzia level ya chin usawa na hilo gari kwa nje...so ungeanza na moja hapo chini ulipoweka wew moja... na pia kule juu hapo haikuwa mwisho ndio mana nilikuambia anza kuhesabu mpka yellow then umalizie yellow kwenda juu kwa jengo lililokamilika
Kwanza umekula ?? ππ Mwenzako yuko analia kuhamia Tanzaniaππ Check out @Joyieeeeee_βs Tweet:Nyie mko na 40 floors? Sisi ndio hilo linapaa.πππ
ROYALTYgate la parliament ni nzuri kuliko parliament ya kenyaπππππ
Pia kuna swala la Tram, light rail jijini Dar es salaam.Miguna atakua anafuatilia project Za dar zimemshtua...Daraja la 2.9km kwa ajili ya sgr ndani ya jiji na BRT phases zinakuja ongezeka akikumbuka matatu ya pale Nbo lazima ajionee huruma