Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

daah ndugu unajiaibisha....nani ametake like forever kujenga flyover sasa?since independence ndio mnaanza sasa 2017.huko mwanza mtajenga lini..ata kisumu na nakuru zinafika sasa
 
Wajengeeni likoni hio kitu hahahahahha οΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ utasema nguruwe ndio wanavuka ferry hahahaha
 
lakini nyinyi ndugu zangu watanzania munanishangaza sana. kisha munasema wakenya wamewadharau... sio kupenda kwa wakenya kuwadharau, ni venye akili zenu bado zimelala. kuna flyovers katika miji ya Mombasa na Kisumu... nyinyi bado munangoja mpaka mukuwe collonised na wakenya ndio mutaamka
 
daah ndugu unajiaibisha....nani ametake like forever kujenga flyover sasa?since independence ndio mnaanza sasa 2017.huko mwanza mtajenga lini..ata kisumu na nakuru zinafika sasa
Kisumu heehehhh is it a city hahahhhaahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜€ baiskeli ndio taxi hahahha unakuja kuaibika hapa hahahhaha sijawah ona duniani city baiskeli ikawa taxi 😱😱😱😱😱
 
mombasa kunajengwa dongo kundu which itaconnect south coast na island....shida iko wapi
Hahahhahahaha kwa sifa tu hamujambo heheheh πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kasome mbudya island dar es salaam uone dunia iko wapi sasa hvi hahhahahaha povuuuuuuuuuuπŸ˜€
 
so?? ni ajabu kwani......mbona bike zinatumika tena sana.
 
Hahahhahahaha kwa sifa tu hamujambo heheheh πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kasome mbudya island dar es salaam uone dunia iko wapi sasa hvi hahhahahaha povuuuuuuuuuuπŸ˜€
sifa eeeh...kaa apo ukiamka utaona dar inafukuza msa
 
Unaona marine transport ya bongo hio hahhahaha hatubahatishi οΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na zimejaa kama uchafu dar hhhaahhahah tafuta hio east and central Africa kama utapata
 
sifa eeeh...kaa apo ukiamka utaona dar inafukuza msa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ povuuuuuu bongo of 2017 ukitaka islands ndio utaumia kabisa hehehe bora unyamaze tu niliwaambia dar imekusanya nairobi,mombasa na kisumu hamutaki
 
so?? ni ajabu kwani......mbona bike zinatumika tena sana.
Wapi onesha hio city duniani taxi ni baiskeli nataka kuona maajabu leo nioneshe hehehheheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ povuuuuuu bongo of 2017 ukitaka islands ndio utaumia kabisa hehehe bora unyamaze tu niliwaambia dar imekusanya nairobi,mombasa na kisumu hamutaki
povuuuuuuu.....flyover ya kwanza?really????how many years after independence....hahaaaaaa
 
by the way ndugu zangu wa bongolala,,, what's the capital city of Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…