KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,154
It's desperation of the highest level. They think that by comparing themselves to us, they'll get a step closer to catching up with anything Kenyan.
Ninyi ni kichaa kabisa, hivi huwa mnatumia vigezo gani kujipima kwamba nchi yenu inasonga mbele?. Be informed that, without food security, jobsecurity, peace, good land policy, equality and justice among your people, Kenyans shall remain poor and your country will continue to face the same problems of 1960s, ie. Food, water, poverty, slums and insecurity.Forgetting that it's all in the mind! Unless they get their mind software cloned to match Kenyans, hiyo yote ni kupaka mbwa rangi! 😀😀
seriouly?mtwara airport for light and mid range aircrafts, go tanzania
mtwara is not a city its just a region what do u expect, hebu nioneshe nakuru airport au kisii airport au kericho airport maana nahamu ya kucheka leo😀😀😀😀😀 na usiponionesha nazileta humu sasa hviseriouly?
Lakini sio 1.5 trillionna hapa lazima Ruto na wenzake wawe wamepiga cha juu (corruption)
wapi kisii airport, nakuru airport, kericho airport,garisa airport, tunasubiri alaf ufananishe na mtwara airport😀😀😀😀😀😀😀
Hahaha ii inaitwa kuchanganyikiwa, picha ya 2015 unaleta kwa discussion ya 2018
nilikua namuonesha mwenzio alikua anakataa sio nairobi hehehehe😀😀😀😀Hahaha ii inaitwa kuchanganyikiwa, picha ya 2015 unaleta kwa discussion ya 2018
ha haa kweli si kila chizi lazima aokote makopo.....hizo ni dalili tosha kuwa unaukichaa tena wa hali ya juu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Unauliza walipofika na tayari ushaambiwa it's the only team in east and central Africa with a continental trophy. Nini ngumu hapo kuelewa ama ni chuki ndo zimekukaba hadi kwenye koo?
elewa tunachokujuza mkuu.......ubishani mwingine ni wakijinga pale ni nnje parkingunaposema "ndani ya airport" unammanisha nini haswa? What's an airport to you? Kama picha inaonyesha wazi parking lot imefurika maji, what makes you think that runway and other impirtant areas if the aiport hakujafurika? Nyinyi ni wabishi sana!!!
Hahaha hawa Matz hata hawajui meaning ya airportelewa tunachokujuza mkuu.......ubishani mwingine ni wakijinga pale ni nnje parking
nimeipenda hiyo.ukiikuta dar nitag nasubiria😀😀😀😀
nairobi haiwezi kukosa humo hata siku moja
List Of Dirtiest Cities In Africa, Number 14 Will Shock You
wacha maswali yakitotoIchoboy airport ni nini ???. Kama unaelewa maanake kweli
uhahaha naomba unioneshe airport zifuatazoHuyu Ichoboy Kenya inambamba sana, anakula Kenya, analala Kenya, unakunya Kenya, anaishi kenya, anawatch Kenyan news more than their so called Tanzanian