Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi has 7000 dollar millionaires...
Dar has 1000
Mombasa has 900

Ichoboy still thinks their poor LDC city can compete The Mighty Nairobi metropolis. ..lol.
 
Nairobi has 7000 dollar millionaires...
Dar has 1000
Mombasa has 900

Ichoboy still thinks their poor LDC city can compete The Mighty Nairobi metropolis. ..lol.
with high level of dreamings nikiomba official source utaniambia huna wapi umetoa data kwenye makende yako😀😀😀😀😀😀
 
hapo ni sehemu wanapoyalaza magari hayo sehemu hio iko karibu na mto msimbazi panaitwa jangwani nikosa walifanya kujenga pale lakini kwasasa magari yote yameshahamishwa 😀😀😀😀😀 so ni mambo ya kawaida sana
Yakitokea Tanzania ni mambo ya kawaida sana. Yakitokea Kenya ni jambo la kuzumngumzia na kuambia dunia nzima. Kweli nyani haoni kundule!
 
Yakitokea Tanzania ni mambo ya kawaida sana. Yakitokea Kenya ni jambo la kuzumngumzia na kuambia dunia nzima. Kweli nyani haoni kundule!
sasa nn unachoshangaa cha ajabu hebu sema kipi cha ajabu hapo 😀😀😀😀 sehemu zinapopaki hzo basi tena sehem yenyewe ni pembeni kabisa ya mto mkubwa sana dar nzima
 
nyie mmefika wapi na huo ugolo wenu....mbona hata hatuwaoni wala kuwasikia ni nafuu ya yanga kuliko nyie
Unauliza walipofika na tayari ushaambiwa it's the only team in east and central Africa with a continental trophy. Nini ngumu hapo kuelewa ama ni chuki ndo zimekukaba hadi kwenye koo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…