hapo ni sehemu wanapoyalaza magari hayo sehemu hio iko karibu na mto msimbazi panaitwa jangwani nikosa walifanya kujenga pale lakini kwasasa magari yote yameshahamishwa πππππ so ni mambo ya kawaida sanaPyongyang πππππView attachment 769506 View attachment 769507 View attachment 769508 View attachment 769509
Only when it's available.Pyongyang πππππView attachment 769506 View attachment 769507 View attachment 769508 View attachment 769509
pointi yako ni???
comming soon Boingππππ na huyu lazima atakuwa ndio msomi kabisa toka tz ila anaandika ujinga
kisha picha ni ya New York City wanasema Mumbai hawa watu jameni...how unprofessional can you be?
tengenezeni barabara CBD alaf munataka kushindana na dar hehehe munachekesha sana nyinyiππpointi yako ni???
Umesahau ONLY BRTkwa kuwakumbusha tu ππππ
hapa ni tanzania
View attachment 769519 View attachment 769520
south africa
View attachment 769518 View attachment 769517
nigeria
View attachment 769521 View attachment 769522
kenya
View attachment 769525
MDC ya kupewapointi yako ni???
nakubaliana na tweet ya huyo jamaa. at least ako na freedom of expression. ingekuwa mbongolala ndio ame-tweet hivo, saa hizi angekuwa anapimwa mjokotengenezeni barabara CBD alaf munataka kushindana na dar hehehe munachekesha sana nyinyiππ
asante kwa kukubaliana na ukweli kuifikia level dar imefika inaeza wachukua another 30yrs nduguππnakubaliana na tweet ya huyo jamaa. at least ako na freedom of expression. ingekuwa mbongolala ndio ame-tweet hivo, saa hizi angekuwa anapimwa mjoko
hatuwezi poromoka kiasi hicho mpaka tuwe level moja..... kamwe hatuwezi kurudi kuwa ldc... pole sanaasante kwa kukubaliana na ukweli kuifikia level dar imefika inaeza wachukua another 30yrs nduguππ
mjoko au mkojo RIP kiswahiliππππ
hatuzungumzii LDC hapa usihamishe magoli tunazungumzia dar and nairobi heheheπππhatuwezi poromoka kiasi hicho mpaka tuwe level moja..... kamwe hatuwezi kurudi kuwa ldc... pole sana
i did this on purpose!!!mjoko au mkojo RIP kiswahiliππππ
kivyovyote vile....hatuzungumzii LDC hapa usihamishe magoli tunazungumzia dar and nairobi heheheπππ
tatizo lenu mkibanwa huku munakimbilia LDC
Hujaona vile the Most Modern Airport in East and Central Africa imeflood?