Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekubari Awe Shemeji yako kweli!
Maana Kwa chuki zako na Wakenya
sidhani kama unaweza kubari dadako Aende kwa mkenya
Wakenya wengi wako tu sawa....wachagaa na wapare wa kwenu wameolewa kenya sanaaaa.
 
Pamoja na hayo still ameingiwa na kiwewe.
kabisa maana kwa ushamba wake anapaita manzese kwa sasa hivi hapaiti tena manzese.......hajui kama ikichukuliwa aerial view ya hilo eneo linachukua karibia sehemu ya makazi yao yote yale ya viestate wanavyovionyesha miaka nenda rudi
 
Mwalimu wako alikua na kazi ngumu sana ya kutoa ujinga.....wacha nikuache tt lakini watu wameiona kijitonyama cbd
sasa wewe ndo bogus umeomba uletewe aerial view ya k/nyama,umepewa!!na we leta hiyo cbd yako tuione..wote humu tuna akili timamu tuta-compare!!hatutaki mboyoyo mingi budaa!!
 
Hapa hakuna kesi sasa kila kitu tumefunga upande wa kijitonyama sasa leta aerial view ya upanga
Ushaambiwa kabla.. sasa nenda kacheki the past threads za view ya kijitonyama at its present
 
wakenya nyie na hako kamji kenu ka nairobi bado sana hamuiwezi dar hata kidogo......

pembezoni mwa mji
 
Hahaha HII NI KILELESHWA
 
ww usiumize kichwa bure nimekwambia fikeni sehemu kijitonyama imefika alafu utumie neno CBD nairobi yote CBD ni moja tu hakuna sehemu nyingineπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
dont cry like a small child.....bogus
[HASHTAG]#NAIROBI[/HASHTAG] FOR LIFE...
 
yani nimecheka sana leo alafu anajiona amepatia mwenyeweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ila wakenya sifa zitawanyonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…