Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

siku hizi nairobi munaendeshea gari right handside😀😀😀😀😀😀
warudishie hio picha wenyewe alaf upambane na hali yako😛😛😛😛😛😛
jamaa kala za uso hadi kapata maluweluwe sasa kasahau Nairobi yake anaanza kuleta picha za miji ya watu akidhani ni Nairobi...
 
the fastest passenger aircraft ever on earth landed in kenya and not by accident or as an emergency
the concorde




Hivi huwa anafanya safari za nchini gani vile ?? 😀😀 Nasikia ilikuwa zilipendwa,😀 I po kwa museum au wapi ?? Mbona imekaa kama sindano yakushonea magunia😀😀
 
uchumi unapumulia mashine kutoka 5.9 mpaka 4.9😀😀😀😀😀😀😀😀mwaka huu utakua 3.9
 
Wine Safi toka Tanzania







Wine za kimataifa


SHARYE - Dodoma Tanzania


ROSIER wine Tanzania


PRESIDENTIAL


CHENIN BLANC


TRESOR


Tembelea hapa kwa maelezo zaidi ujue wine zinazotongenezwa bongo
Cetawico






 
is this Airbus A380 my friend heheh sijakuelewa mm nafahamu ni retired concorde and not airbus A380 au nimekosea😛😛😛
ni ile mnapiga kelele na hizi vitu tuli experience kitaaambo
 
Ondoa uchafu hapa...
hii hapa chini ipo Nakuru na haturingi
Sasa na ww kwa akili yako ndogo tu ulidhan Dar road iko moja au ziko mbili? Iyo no barabara ya kawaida sana sioni haja ya wewe kuangua kilio
 
A second city
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/01/91083_1ab20204eb9161fe4fbb83f3c8744cee.jpg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…