Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hio picha ya juu hapo ni wapi????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
au unalazmisha ushindi???

hio picha ya chini hapo ni jangwani kipindi cha mafuriko na kwa sasa hzo nyumba zote zimebomolewa pako open space hata ukitaka ushahidi nakuleteaπŸ˜›πŸ˜›
Kaulize hao wazungu wanakutengenezea nyumba.
 
hayo maelezo umesoma ukaelewa vzr ??πŸ˜€πŸ˜€
umepost wewe je maelezo umeyaelewa vzr
Alafu wanauliza kwa nini hatuongei Kingereza wakati hata kusoma hawajuiπŸ˜€πŸ˜€Hawanyangau ni tatizo. πŸ˜€πŸ˜€ Zero Brain kanikimbiaπŸ˜€πŸ˜€
 
Alafu wanauliza kwa nini hatuongei Kingereza wakati hata kusoma hawajuiπŸ˜€πŸ˜€Hawanyangau ni tatizo. πŸ˜€πŸ˜€ Zero Brain kanikimbiaπŸ˜€πŸ˜€
maana nimeshangaa maelezo yanajitosheleza kabisa yeye kuelewa tatizo lao hawa wanataka kulazmisha dar kua na slum wakat hakuna πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
huwez ukaficha aibu yako kwa kutumia jina la mtu kama wao wanazo slum zakushiba ni zao
 
Niwapi nimesema sijaelewa post, kiherehere ndio mukonayo mingi.
 







Boeing 747 taking off over Maasai tribesmen
Concorde landing


Concorde



















 
the fastest passenger aircraft ever on earth landed in kenya and not by accident or as an emergency
the concorde




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…