mbezi???aaaahh kweli we dishi limeyumba..mbezi
Oooh my Godπ±π±ukiniletea ushahidi kua hapo ni dar nitagππππ
huyo roho inamuuma sana washaona wamezidiwa sasa roho inawauma ile mbayaπππππmbezi???aaaahh kweli we dishi limeyumba..
Huyu dishi liliyumba zamani. Jina lake ni Zero Brainπππmbezi???aaaahh kweli we dishi limeyumba..
jamaa ana utani sana huyu!!mi nishawahi kutia timu maeneo hayo ya kibera mi mwenyewe nili-freeze!!anataka kufananisha na hziπππππ
Ooh my God ! π±π± Dunia simama nishukeπ³great kiberaπππππππ
ona hii sasa dandora nairobiOoh my God ! π±π± Dunia simama nishukeπ³
Oooh mama ! π±π± Mvua ikinyesha unalala na pamba masikioniππkwa mbali naona nairobi CBDππππ
WATU WANAISHI KWENYE NYUMBA ZA MABATI
ππππππππ munaishi maisha kama wakimbiziGood one