sengugange
Member
- Apr 21, 2018
- 37
- 10
we ni mbulula usiye na mipakaNkt! We kwanza acha ni kuchanue kiasi ju nikama hujielewi.... Do you know the origin of swahili?? Jibu hio swali alafu ujiulize kama we ni mswahili Ujinga peleka kigoma bana.... English ni international language Acha ushamba buda.... Kama Kiingereza ni Miujiza kwakwo basi sijui ukiskia French utasemaje....
Hata American dollar, and British pounds are international currencies, why each country has its own currency?Nkt! We kwanza acha ni kuchanue kiasi ju nikama hujielewi.... Do you know the origin of swahili?? Jibu hio swali alafu ujiulize kama we ni mswahili Ujinga peleka kigoma bana.... English ni international language Acha ushamba buda.... Kama Kiingereza ni Miujiza kwakwo basi sijui ukiskia French utasemaje....
Ariel viewππππππ
Kigamboni anasema Dar imeisha !! ππhio ni kigamboni tena haijaisha hapoπππ
https://www.nation.co.ke/news/polit...peaceful-poll/1064-1893004-j93e9vz/index.htmlAriel viewππππππ
ππTunaomba kuona gari la Gor....
πππAriel viewππππππ
Huyo jamaa ni Zero Brain.Hata American dollar, and British pounds are international currencies, why each country has its own currency?
Leta picha za izo barabara zenye ziko under construction wacha kuleta makaratasi *****
Lete picha inayoonyesha wapi GDP yenu inakokwenda, kwanini Nairobi hakuna ,aji, hakuna good drainage system, full of slums na hakuna kazi kwa vijana.Leta picha za izo barabara zenye ziko under construction wacha kuleta makaratasi *****
leo umepewa kibano kitakatifu naona unatafuta njiaππππππLeta picha za izo barabara zenye ziko under construction wacha kuleta makaratasi *****
heheh dah kitu mubasharaππππππ