Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lini inaanza hio renderπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
yani matatu 15 passengers iingize 12,000 ksh wewe unatudanganya sisi mchana kweupe kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii ndio dawa ya ajali za kijinga. Sio uchochoro kutoka City to City. Bahati mbaya huku kwetu Magu akianzisha ujenzi kama huu wanasiasa uchwara watakuja juu kusema watu hawali barabara huku wakisahau barabara nzuri ndio zinachochea maendeleo na kupata hio hela ya kula!
 
there is a 90% chance those pictures were taken on a KQ aircraft headed either to or from kilimanjaroπŸ˜€πŸ˜€
Huko ndio kuishiwa na hoja, hiyo inabadilisha nini katika hicho kilichoelezwa na huyo aliyeweka hizo picha?, yeye umuhimu wake ni kuonyesha beauty ya Tanzania, inabadilikaje kwa kupanda au kutokupanda KQ?
 
there is a 90% chance those pictures were taken on a KQ aircraft headed either to or from kilimanjaroπŸ˜€πŸ˜€
who told u??? au you the one who took those pictures???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sijui ujinga mutaacha lini
 
there is a 90% chance those pictures were taken on a KQ aircraft headed either to or from kilimanjaroπŸ˜€πŸ˜€
FYI there are more than 8 different international airlines doing direct flights to Kilimanjaro Airport, do you want to know them?
 
sijakukataza ufanye research ndugu...
yani haiwezekani hta kiakili achilia mbali kutumia nguvu, 15 passengers matatu iingize 12000 ksh bro be serious banaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…