Ule boy mzii Wa nairobi
Senior Member
- Mar 30, 2018
- 164
- 37
Of which dar ni 3 pekeesasa nakupa za dar
1. kilimajaro hyatt regency hotel
2. serena hotel
3. seacliff hotel
4. double tree hotel
5. ramada encore hotel
6. ramada resort
7. golden tulip
8. best western hotel
9. amverton bay view
kwa leo zinakutosha
Punguza hasira babu huna akili razini nini ?? ???Hujui chochote unaongeaongea ujinga na ufala tu
Yaan miwatu mingine kama mataira, limtu kama wewe hamna haja ya kubishana maana nae atakuwa taira tu, unaongea ujingaujinga na ufala mbele ya watu afu unategemea kujibiwa, crazy
pole sana nimekupa 9 tu ila ziko over 10😀😀Of which dar ni 3 pekee
nikibanwa nn google unayo kinachokushinda nn hapo?? wacha kulia kama mtoto mdogo budaaKawaida yako ukibanwa kwenye kona na kukosa kitu ya kusema baada ya kukosa njia ya kujitetea. Endelea kusumbuka kaka ila number utasoma kabisa
Most of the time wewe hujui unachoongea, ni ubishi tu umejaza kwa akili. Sasa mbona unadhibitisha kwamba hujui unachoongea? hizo hoteli zote ni four stars and you can ckearlu count the number of stars inserted next to hotel name
hehehheheOf which dar ni 3 pekee
Most of the time wewe hujui unachoongea, ni ubishi tu umejaza kwa akili. Sasa mbona unadhibitisha kwamba hujui unachoongea? hizo hoteli zote ni four stars and you can ckearlu count the number of stars inserted next to hotel name
ongeza na hicho kibano😀😀😀😀Most of the time wewe hujui unachoongea, ni ubishi tu umejaza kwa akili. Sasa mbona unadhibitisha kwamba hujui unachoongea? hizo hoteli zote ni four stars and you can ckearlu count the number of stars inserted next to hotel name
I just asked him to back up his claims with a credible source ananiambia niingie google nikajitaftie. A few minutes later analeta list ya four-star hotels kisha anajiona mwanaume sana. hahaha...hizi umekombine four star 3 star na 1 star
hehhehe nimekupa vibano vya kutosha nyingine hioI just asked him to back up his claims with a credible source ananiambia niingie google nikajitaftie. A few minutes later analeta list ya four-star hotels kisha anajiona mwanaume sana. hahaha...
soma hapa sio keleleokay bro sijui nikueleze vipi lakini hizo si 5 star they range from 1 to four star 5 star ni ya matajiri ajab
Umeleta tisa ambazo ni four-star hotels. Tulikuwa tunajadili four-star hotels kweli?pole sana nimekupa 9 tu ila ziko over 10😀😀
uanaume uko hapaI just asked him to back up his claims with a credible source ananiambia niingie google nikajitaftie. A few minutes later analeta list ya four-star hotels kisha anajiona mwanaume sana. hahaha...
Namshow kitu inaitwa 5 star ni way above another level na haelewi maneno ni dhahiri shahiri hajui maana ya 5 starI just asked him to back up his claims with a credible source ananiambia niingie google nikajitaftie. A few minutes later analeta list ya four-star hotels kisha anajiona mwanaume sana. hahaha...
ndio hzi nakupa sasa😀😀😀😀Umeleta tisa ambazo ni four-star hotels. Tulikuwa tunajadili four-star hotels kweli?
Hôtels 5 étoiles à Dar es Salaam sur Expedia.frNamshow kitu inaitwa 5 star ni way above another level na haelewi maneno ni dhahiri shahiri hajui maana ya 5 star
usizuge maana ya 5star hii hapaNamshow kitu inaitwa 5 star ni way above another level na haelewi maneno ni dhahiri shahiri hajui maana ya 5 star
Hizo zote ni one-star hotels, not even two-star. Nimegundua hujui lolote kuhusu star rating in the hotel industry. Hoteli zote kwa hiyo list uliyoleta yamepewa one star. Naona ngoma imekuwa nzito kwako. Ita wenzako wakusaidie