Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii bugando ni konde kama kichochoro ya tandale....Lol.face ndio imewekwa kuhadaa watu ati hospitali ni pana.....huhuhu.Hii hata haifikii Jaramogi hospital ya kisumu
 
hii bugando ni konde kama kichochoro ya tandale....Lol.face ndio imewekwa kuhadaa watu ati hospitali ni pana.....huhuhu.Hii hata haifikii Jaramogi hospital ya kisumu
unaona sasa unavolia 😀😀😀bugando iko juu kabisa ya mlima na ime cover over 80% ya mlima wote kwa juu
 
Vipi kuhusu bus stops.. maana ma3 zina drop wasee any how
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…